Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kariakoo Online Company Limited is glad to introduce new business model for mobile phone repair,unlocking,flashing etc. From now onwards no need for people around Dar es salaam to have physical...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ongeza ufahamu kwa mwanao na umuepushe na kuangalia dvd na vipindi vya luninga visivyo muhusu.Dvd maalumu za kufundishia watoto zipo za madarasa tofauti zinapatikana sasa madukani nchi nzima.kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni blackberry 8520 bei 130,000 tu! For a serious buyer Ni-pm, npo dar
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Kiwanja kinauza maeneo ya mbezi luis milion 4.kiko sehem nzuri sana
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Iwe na vyumba vitatu (of course one should be master), maji yasiwe shida. Preferably iwe na fence ili niweze kulaza ndinga langu ndani. I am ready to pay monthly kodi of Tsh250,000 kwa instalments...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Very urgent!! Natafuta keyboard ya hp 620. Kama unayo na unauza please holla thru 0752385949
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Habari za saiz wanajamiiforum, Kwa jina naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira mkoa wa Arusha mwaka wa kwanza, faculty of Humanity and social science(EDUCATION). Natafuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://haki-hakingowi.blogspot.com/ MSIBA MKUBWA UINGEREZA (Reading) *Peter Gachuma,Thomson Msigwa Wafariki Dunia.. ------------- Wanajumuiya wa UK tumepokea habari Ya kusikitisha za...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Kamata bomba la gari kutoka Nissan aina ya ELGRAND ya mwaka 2006 yenye uwezo wa kubeba watu wa nane(8) kwa USD 10,599 FOB. Pia ina sifa zifuatazo; Air Conditioner, Power Steering...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Sasa hivi imeboreshwa zaidi kwa kuwekwa TILES Nyumba hiyo ina sifa zifuatazo: -2 Master bed rooms -Wide Sitting room -Dinning Room -Kitchen -Store -Public Toilet -Fence -Maji -Tiles -Umeme wa...
7 Reactions
76 Replies
9K Views
Anaitwa Dr sospeter Majala, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20, Anatibu magojwa mbalimbali isipokuwa ukimwi na TB. Wasiliana nae kupitia No 0769293026, atakusaidia baada ya kueleza matatizo yako.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ipo Dar es salaam, gari ipo katika hali nzuri sana. imetembea km 130,000 tu haijawahi kuguswa injini. bei maelewano. mawasiliano 0754403356 au 0752555055
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana, Natafuta MSOMI, aliye ndani ya nchi - Tanzania - anayejua Kifaransa, KINAGA UBAGA. Kuna kazi ya kufanya translation, highly technical document, kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Nina dada angu amemaliza kidato cha nne amepata 4 ya 26 anampango wa kwenda tech anataka electrical and biomedical engineering aende ipi jaman
0 Reactions
3 Replies
996 Views
NIKON D40 SLR 6.1 megapixel ,na NIKON D50 SLR 10 megapixel na Panasonic lumix pia ipo NEC PROJECTOR bulb yake ina masaa marefu complete ZOTE ZIPO DAR .bei maelewano piga simu 07112652110 ,
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Wakuu habari! Nna xbox 360 inatatizo la hardware obviously mana ile ring inawaka rangi ya red... Sasa kama kuna mtu anajua how to fix it anambie ama kama kuna fundi lkn kwa instant service pia...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
zamani ofisi zao zilikuwa samora karibu na stesheni, leo nimeenda nimekuta wamehama. mwenye kufahamu walipo hamia tafadhali anijulishe.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi WANA JAMVI Jamani naomba kuuliza hii nokia Lumia 900 inatembea bei gani dukani kwa sasa ?? au kama kuna mtu anayo used !!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarin wana Jf. nina gari yangu Chaser avante gx100. manufacture year 2000. reg: T.....BDU engine 1G vvti. cd.dvd.TV player & Navigator. Imported in 2010. Ipo katika hal nzuri.ipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom