M.I.C.L Ni wauzaji wa Tracksuits size zote,wadogo kwa wakubwa.Za kike na Kiume,Jumla na Reja reja.!Tupo Dar&Arusha.Tunapokea Order za shule na bei yetu ni pouwa sana.!Call/Sms/whatsapp 0786 637775
Hello wa ungwana,mimi natarajia kuwa tanga siku za karibuni.Nahitaji nyumba ya self contain ya vyumba viwili ya kupanga.Mwenye habari yeyote anaweza nitumia email kupitia joemchina@yahoo.com
Kwa wale wanaopendelea kitoweo cha nyama ya mbuzi tafadhali piga 0659604089. Mbuzi wapo watano wasiopungua kilo 40 kwa uzito na zaidi, nawauza baada ya sehemU ya kuwafugia kukosekana!!
I have got Brand NEW BOXED iphone 5 for sale and used iphone 4 (in mint condition). If you are interested send me private message. All the phones are UNLOCKED.
Iphone 5 Tsh. 1,100,000
Iphone 4...
Ninauza kiwanja eneo la Pugu. Kimepiwa, kipo nyuma ya makazi ya Waziri Mkuu Pinda. Kina offer. Kina ukubwa wa 45 Kwa 26 sawa na square meter 982. Umeme umefika. Ni mita 190 kutoka barabara ya...
Nahitaji CHEREHANI ya kusukuma kwa miguu (manual), nzima, bora, mpya au iliyotumika. Shilingi ngapi za Kitanzania? Bei inazungumzika?
Inamhusu anayepatikana 'Muheza' au 'Tanga mjini'...
kinaitwa ''IJUE ADARA YA USALAMA WA TAIFA'' By Godwin Chilewa. kama kuna mtu anajua kinapatikana wapi anisaidie, nimeshindwa kununua soft copy yake kupitia Amazon. pia kama kuna anaeweza kukinunua...
Nahitaji huo waya alokua nao anambie tuongee bei. Najua kuna power cable muundo tofauti lakini mimi nahitaji ule ambao una ncha sita, 3 juu, 3 chini isiwe oval shaped but iwe kama square shaped...
Habari zenu,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja self, kuwe na choo cha wageni, sitting room na jiko, nyumba iwe katika maeneo hayo niliyoyataja,
ahsanten
Ukubwa : Sqm 2,000Eneo: Moga Bunju Beach : Kimepimwa na kina hati , kipo ukanda wa beach Bei : 70mMawasiliano: 0657 145555 na 0772 00 88 66 sisi ni madalali.Pia kuna kiwanja cha sqm...
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii
Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:
1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
1. 200 acres farm well surveyed and serviced in Kibaha Region 6km from the main Road. It is a potential area for cultivation, large scale agriculture and industrial development. All the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.