Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tractor aina ya Massey Ferguson 598 T,iko katika good condition inauzwa,bei ni 19.5m na maelewano yapo!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HTC desire kwa bei nafuu nicheki kwa biashara 0717022737
0 Reactions
0 Replies
678 Views
• Tuna uza mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu MAFUTA YA UBUYU/BAOBAB SEED OIL NI MAFUTA HALISI YANAYOTOKANA NA MBEGU YA UBUYU.UTAFITI ULIFANYWA KUHUSU MAFUTA YA UBUYU UMEONESHA KUWA YANA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
simu hiyo hapo juu inauzwa inatumia android version 4.0.1 kwa maelezo zaidi kuhusiana na phone specification pitia Sony Xperia tipo dual - Full phone specifications bei:laki 2 kushuka chini
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hello nimeongeza baadhi ya picha na kutoa vile vilivyouzwa lamp shade tzs 130,000 bed (without mattress) tzs 350,000 dgressing table (same color) natoa offer kwa atakae nunua kitanda Samsung...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Ni eneo lenye umeme, maji na barabara nzuri. Ukubwa ni 20 kwa 20 na bei ni 12m. Contact ni 0712232849 karibu sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna black berry bold 9700 price ni 270,000 na samsung galaxy s2 ni 300,000. Hii galaxy ina crack kidogo kwenye screen lakini touch screen na touch pad are functioning properly haijaguswa. Both...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau,tafadhali mwenye micro wave tuwasiliane!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ninahitaji kiwanja maeneo ya Mbagala Chamazi, Mbande na maeneo ya jirani. Kiwanja kiwe na hati na kisiwe na mgogoro, ukubwa ni kuanzia mita 25*30 na offer yangu ni 4mil tsh! Kama unacho au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A Father, anahitaji CHEREHANI ya kusukuma kwa miguu (manual), nzima, bora, mpya au iliyotumika, aina yoyote PAFF, SINGER au BUTTERFLY. Shilingi ngapi za Kitanzania? Bei inazungumzika? Inamhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale mnao tafuta mtalaamu wa kukuchorea nyumba au majengo ya aina yeyote tuwasiliane. Kwenye pm tufanye kazi.... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Now nimeweka picha Inauzwa tsh 350,000, Wasiliana nami 0782865192 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazia kifo cha mama yangu mpendwa, Telinala Mtambo kilichotokea ghafla asubuhi ya siku ya leo tarehe 12/03/13 jijini Mbeya. Mazishi yanategemea kufanyika siku...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Iko katika hali nzuri kabisa,haina tatizo lolote,ukihitaji call me kwenye no 0782865192 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Ndugu, Nina ipad lakini charger nlonayo ni ya iphone so inasema "not charging" mwenye charger, pls nichek 4 trading
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Simu kwa good condition with 16GB internal memory!! 0717022737 chek me for business
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Ni fundi ambaye amebobea katika masuala ya umeme wa viwandani na majumbani hivyo una weza kumtafta no 0765884743 songea
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shamba lipo HOMBOLO BWAWANI katika mradi wa umwagiliaj kwa kulma zabibu na mazao mengne,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ili uweze kupata wallpaper game simbian game photo image editor image chef na mengine mengi bofya HAPA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usikose kusikiliza kipindi hiki kipya cha redio leo usiku saa 3:00 kupitia TBC FM.Kinaongelea vijana wanaofanya kilimo kama biashara. Content yao imetulia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom