Tunatengeneza mabango ya kisasa aina zote,tupo Dar es salaam maeneo ya Tegeta.Ingia http://disolni.blogspot.com/ kuangalia baadhi ya kazi tulizowahi kuzifanya & kwa mawasiliano zaidi.
Nauza simu HTC wildfire A3333 Addroid system. Full touch screen and HTC SENSE. Bei ni 200,000. Maongezi yapo! Anayehitaji Tuwasiliane kwa namba hizi;
0787577755, 0767577755 na 0717577755. Au ani PM.
Espitech Engineering Co ni kampuni iliyosajiliwa na kutambulika CRB ambao ni wataalamu wa kusupply na kuinstall vifaa na systems bora za CCTV kwa wenye Maduka, Supermarkets, Shelli, Garage...
Kiwanja hiki kipo Chanika wilaya ya Ilala Dsm, barabara ya Pungu unafika gongo la mboto kisha unapanda gari za chanika . eneo la kiwan ja ni tambalale na kipo umbali wa kilometa 2 toka barabara...
Habari zenu wana jamii,kunakiwanja kipo kimara mwisho kinauzwa million 75,kipo jirani na morogoro road ni umbali wa dakika tano(5) tu. kinaukubwa wa nusu heka yani 70 kwa 35 pia eneo hilo lina...
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibahainakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga...
Imetumika kidogo
Ina trademark ya Google
Ina mfumo wa MPGE4 wa kuplay video
Ina camera isiyo na frash hivyo unaweza kumchukua mtu bila yeye kujitambua
Ina application za kutosha
Ni android...
JE UNATAFUTA NYUMBA/VYUMBA VYA KUPANGA SOWETO-MOSHI???
KARIBU KUNA VYUMBA YA KUPANGA NZURI IPO SOWETO, MTAA WA HURUMA KARIBU KABISA NA ST JOSEPH HOSPITAL.
NYUMBA INA KILA KITU MAJI, GETI, NA...
Habarini wana jamii, naishi magomeni kanisani natafuta mwalimu wa kunifundisha karate au sehemu mafunzo yanapotolewa, iwe mitaa ya magomeni au kinondoni. Ahsante
IPo mwembechai karibu na DDC MAGOMENI KONDOA Ina vyumba vitatu kodi kwa mwezi ni laki mbili na nusu na italipwa kwa miezi Sita au mwaka.ukiihitaji ni cheki kwa no.0655 44 44 40
Kuna tangazo kwa umma kwenye daily news, the guardian la 22 Feb kutoka TCRA, kuhusu maombi ya mwanaharakati Marie Shaba (0784-265315) yakuanzisha kituo cha Radio Kaya FM. Unakaribishwa kutoa...
hellow kuna ndugu yangu anauza viwanja with the following specifications:
Plot A
Area: Ubungo Kibangu.
Distance : five minutes drive from river side bar
Size : 29*30 and price 14million...
Jeep inauzwa bado ipo katika hali nzuri,ndio imeingia kutoka japan. Imelipiwa kila kitu hadi february 2013. Nyeusi,sports rim. Bei maelewano. call 0715838107 now.
Mini fundi wakupaua mitindo yote ya kisasa, naenda sehem yoyote kwa atakae nihitaji hatakama ni nje ya nchi nikihitajika naenda kikubwa fedha. mawasiliano 0765 156 828 na 0654 234 344 kalibuni sana
Nauza mafuta halisi ya yatokanayo na mbengu ya ubuyu kwa lita moja ni sh.35000 tu kwa mawasiliano piga namba zifatazo 0714592938, 0784500001, 0758000388
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa...
Shamba ekari 30 linauzwa,eneo ni bunju a 6km kutoka old bagamoyo road,bei ni 160ml ila maongezi yapo.eneo halijapimwa ila halina tatizo lolote.phone 0716797416.
Happy holidays wapendwa wana jamii forum.
Natafuta nyumba ya kupanga Jijini Mwanza.
Sifa:-
1. Iwe na vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko.
2. Iwe maeneo ya barabara ya Airport yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.