Habari zenu, nyumba inapangishwa mwenge karibu na TRA, ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, ina dining room, sitting room, kitchen na public toilet, kodi ni 450000 inahitajika ya...
DELL STREAK 7 wifi+4G (16GB internal memory) 7.9 inches screen ni mpya imefunguliwa box kwa kuupgrade os to android 3.2 na kui root ili uweze kuinstall kitu chochote kile na kuweza kutumia skype...
Wadau heshima kwenu,
Natafuta chumba na sebule iwe self contained maji na umeme, iwe maeneo ya SOWETO au RAU, Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi, ikiwa na usalama wa geti na ukuta ntashukurusana.
kwa...
Wakuu Habari zenu,
Natafuta nyumba ili nipange, chumba kimoja self contained na sebule au vyumba viwili na sebule moja lazima kiwe self (maji muhimu yawepo). Mazingira yawe mazuri kwa usafi na...
FOR SALE: Dell D630
Intel (R) Core (TM)2 Duo CPU, T7100 @ 1.80 GHz, 0.99 GB of Ram, HDD 80GB @ 300,000/- only. If interested check on me via 0713218388
Tuna andika write-ups za mambo mbalimbali na kufanya consultancy services mfano
project/grant proposals,
concept notes,
letters of Inquiry (LOI),
business plans (for startup and ongoing...
Ipo katika mazingira mazuri na nimeambatanisha picha uijue vizuri. haina tatizo lolote ina uwezo wa internate 3g Memory card 1gb Earphones Charge Bei inaanzia elfu 80 Maelewano yapo, wahi kwani...
Nyumba ya kisasa anauzwa ipo ndege beach ina uwanja mkubwa sqm 950, ina vyumba 3 vya kulala vyote master, jiko, public toilet, dining na store, bie yake ni ml 190, interested customer pls contact...
Gari Toyota Alteza inauzwa, bei maelewano, ipo katika very gud condition
Specification
Steering: Right
Transmission: Automatic
Year of Manuf: 2000/2
Engen cap: 1,990 cc
Call:0759 822 429...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.