Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Imeshuka Juzi bandarini imeshasajiliwa no 368 CFL nzuri wewe ndo utakuwa mtu wa kwanza kutumia hapa bongo bei ni 6.5 million maelewano kidogo yapo ya mwaka 2001
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nipo dar,nahitaji pS 2...budget yangu ni 120,000!atlest iwe katika condition nzuri na ikipatikana multsystem itakua poa, nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
591 Views
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA Habari wanajamii Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo: 1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Heshima wakuu, naomba mweye kujua hivi vitu vinakopatikana atupie humu jamvini.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toyota Starlet 4E, EP 91, 1330cc, silver inauzwa. Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana kwenye picha. AT,PW,PS,ABS,AC, 115,000km, sport rims, no accident, clean exterior and interior, fuel...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau,mafuta yaliyokamuliwa kutokana na mbegu za UBUYU yanapatikana,lita moja ni shilingi elfu 30 tu. Kwa mawasiliano zaidii piga simu namba zifuatazo: 0712385456 0713890628
0 Reactions
32 Replies
4K Views
nokia E72 inauzwa bei poa..bei tsh 100,000 tu..kila kitu kipo vizur sana kuanzia betri na vingenevyo..camera ni ya kurekebishwa kidogo..but ukiongeza elfu 10 utarekebishiwa bure. Wahi sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ipo katika hari nzuri sana.. Tsh 240000...contacts 0752187434 nipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Zote 16G... Sony ericsson black, iPHONE4 White na Nokia lumia 900 black. Bei laki 3.5, laki 5 na laki 5. PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
acer processor 1.6 MHZ,RAM 2 BG. Hard disk 320gb. Bei 430000. mawasilizo zaidi piga simu namba 0752187434.
0 Reactions
0 Replies
818 Views
HTC Status ....100,000/- HTC glide 150,000/- Apple iphone 4 factory unlocked, synced to itunes before u buy and clean IMEI .... 500,000/- Nokia Lumia 900 ... 500,000/- Sony Ericsson Experia ... 2...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, nahitaji mini laptop yenye quality nzuri. Kama ikiwa Acer or samsung itakuwa poa zaidi. Bei reasonable tuu ni PM kama unayo
0 Reactions
1 Replies
917 Views
BETRI ZA SIMU, BETRI ZA CAMERA NA LAPTOP, BATTERY CHARGERS, PRINTER TONERS, SCIENTIFIC CALCULATORS, VITABU, LAPTOPS, DASH BOARDS ZA COMPUTER NAKADHALIKA. JE, una kifaa chako cha Elentronic...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Samahani wajumbe ila naulizia kama mtu anafahamu sehemu wanapouza A4 T-SHIRT PRINTER na ntafurahi nkijua bei na eneo wanalouza na kama ntapata na namba ya simu then ntashukuru zaid
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Iwe kwenye hali nzuri na bei ya kawaida, nipm au simu 0682733791 tukielewana nakupa cash tarehe 25 mwezi huu wa pili.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ipo katika hari nzuri.. Contacts 0768497592 nipo dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Natafuta laptop nipo malimbe mwanza nicheki kwenye 0765480855 iwe katika hali nzuri
0 Reactions
7 Replies
866 Views
wadau kuna shamba maeneo ya kibaha kwamatias karibu na hospital ya burere lina vitu vifuatavyo nyumba yenye vyumba vitatu minazi 14 Michungwa 10 Miembe na vitu vingind vingi umeme uko nyumb ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom