habari wana Jf
nina rav4 tatu zilizo katika hali nzuri sana nazikodisha.
rate kwa siku ni tzs 50,000 ikiwa hapa dar na 100,000 ikisafiri
kwa flat rate ni tzs 50,000 kwa km 3500, kila km...
habari wapendwa! nauza Nokia E72 nyeusi kwa rangi,imetumika kidogo ina 5MPix bei inaanza laki tatu na nusu (350,000/=) negotiatable kwa yeyote mwenye interest just call 0655 967 944 au 0778 480...
Hello!
We supplyQuality grade 1 suits from Turkey, Thailand and Hongkong to various botiques and to individuals on retail at a whole sale price of 150,000/=
We dont have a store/shop, we just...
Laptop HP 630 intel Celeron imetumika miezi miwili inauzwa, bado ni mpya kabisa. Kilo 580 zinahitajika
Processor 1.6 ghz
RAM 2gb
HDD 500
Ina support Wireless, bluetooth na webcam kama kawaida
kama...
habari wanajamii,kuna mtu anauza gari lake aina ya Hyundai Amica model ya mwaka 2000 na imetembea 55000KM na anauza kwa 3Mil sasa nlikua nataka kujua kama kuna mtu anajua matatizo au uzur wa hli...
kiwanja kinauzwa
boko vikawe.
ukubwa ni mita 20 kwa 20..
bei ni mil 11 Tsh.
documents zote za kiwanja zipo kamili.
kwa mawasiliano zaid piga
0655220039
0717424968
ahasante
Wakuu, hii simu nililinunua mwaka jana but inakula moto si mchezo, haizidi kukaa na chaji zaidi ya siku moja. Natafuta battery ili nibadilishe ikae na moto japo siku tatu kwa matumizi ya kawaida...
habari za mihangaiko wapendwa,
nauza simu aina ya Nokia E72
ina 5.0 MPix
imetumika kidogo
inauzwa kuanzia laki tatu na nusu 350,000/=
kwa yeyote mwenye interest nayo awasiliano kwa namba ya simu...
Model No. GT 7500
Internal Memory: 32GB
RAM: 1GB
Processor: 1GHz Dual Core
Display: 1280 * 800 resolution WXGA
Bluetooth Support
3 megapixel rear camera and a 2megaixel front camera
Seamless 1080p...
Natafuta laptop yenye webcome.isiwe imechakaa sana hata kama ni used iwe na skype:::bei laki tatu keshi bila nyongeza..mkoa wowote ila ikiwa mwanza ni vizuri zaidi
shamba lenye ukubwa wa Ekali 2 na nusu lenye vitu vifuatavyo :- Nyumba ambayo haijakwisha na upande umeezekwa na watu waishi, Minazi 20 , Michungwa 10 , Miembe 4 na Mimea mingine mingi Mhusika...
Lina ukubwa wa hekta nne. Lipo pembezoni mwa barabara iendayo Goba.Lina hati miliki Linauzwa USD 250,000/=
Kwa kulitazama au maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233
Imetumika kwa miezi sita, lakini iko kwenye hali nzuri sana. Inakuja na charger, screen protector, usb cable, na stand cover. Bei yake ni tsh 675,000. Serious buyers can check me through...
Heshima yenu wakuu,
Huwa naona kwenye nyumba za watu binafsi wameweka madishi makubwa maarufu kama "ungo" yale ambayo yako kama chujio. Ningependa kujuwa kwa wenye uzoefu nayo, nayapata wapi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.