Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu waungwana, natafuta housing ya Compaq Presario V4000,ambaye anayo tuwasiliane kupitia namba hii 0653-060320.nipo Dar..
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni nzuri engine yake ni 3s ina cc 1988 imefika imesajiliwa tu imepark haijatumika kabisa ina kila kitu hadi alam milion 18.5
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rav4 New Model for sale. Year- 2001 Automatic Transmission Mileage- 120,000km Engine- 1AZ Reg- T --- B.. Excellent running condition In Tanzania since 2010 Price- 17,000,000 Mil ( negotiable for...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
i am a form six leaver 2013,kama kuna temporary job yoyote ya kufanya kwa kipindi cha miezi sita naomba mnisaidie.nimesoma EGM,nina cheti cha computer na nina leseni Class D na E!Namba zangu ni...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
raum mwaka: 2003 rangi: silver na blue km: 67,000 A/c , cd player , number c na zimelipiwa road license . mnunuzi ataweka bima tu BEI: 11,800,000 GX 110 Mwaka: 2000 Km: 87,000 number: BGF A/C...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
anayeuza wireless router yenye slot ya simcard ni nzuri zaidi anijulishe kwa sms 0763309632.....budget yangu ni 50000 twaweza ongea kidogo
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Aina ya miche;miembe,michungwa,parachichi,mitiki,mikangazi,fenesi,passi0n,shelisheli na nk.c0ntact_erickjames@gmail.c0m
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, nashida na Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu. Mwenye details tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inahitajika gari ya kukodi kwa siku TZS 15,000,maximum.Petrol najiwekea.Kama ina driver au haina driver yote sawa. Trips daily mwenge-magomeni,kwenda saa 1- kurudi saa 10jioni,baada ya hapo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari wana JF, natafuta kiwanja kisizidi millioni sita, ahsanteni
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mikono Media welcomes you to advertise in our email marketing platform. We have a data base of over 50,000 pontential clients emails ranging from MDS, CEOS, Business Contatcs, Individuals, and...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Viwanja vinauzwa kigamboni,vimepimwa na miundo mbinu yote ipo, vinauzwa kwa mita za eneo kwa shs 15000/=, kuanzia ukumbwa wa mita za eneo 740 mpaka 1500 meta za eneo, tuwasiliane kwa simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayeuza scooter kwa hapa Dar naomba anichek 0752385949
0 Reactions
0 Replies
968 Views
RAV 4 iliyon katika hali nzuri ndani na nje inauzwa. Details ni kama ifuatavyo Year of Manufacture: 2004 Model : CBA - ACA21W Engine Capacity : 1990cc Engine Type...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kufanya installation /wiring kwenye nyumba natafuta shemu wapouza viffa vya wiring kwa bei poa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kuna mtu yoyote ambaye ni fundi wa makochi mzuri au anamjua fundi couch mzuri ,makochi yangu yanahitaji repair ni Chesterfield leather couch,leather isha anza kukatika,kwa hiyo nahitaji...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wanajamvi nitahitaji chumba cha kupanga maeneo hayo hapo juu kwa sh.35000-40000 ila tu kiwe kizuri na kikubwa angalau pawepo na hudduma muhimu karibu. Pia kwa yeyote mwenye kujua sehemu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta iphone 4s ya kununua,iwe katika hali nzuri na iwe nyeusi...my budget is 450000...kwa yeyote mwnye nayo anipm...iwe na 16gb na kuendelea..karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom