Wakuu mambo vipi? naitaji kampuni ambayo inaweza kununua Diamonds nina Mzigo wa kutosha.. kama kuna mtu anafahamu kampuni yoyote ambayo inafanya hiyo biashara please anijulishe kwa PM
Bus aina ya Yu Tong used kiasi linahitajika kwa yeyote mwenye taarifa za muuzaji.
Hali ya gari iwe inaridhisha
Iwe na uwezo wa kwenda route za mbali kama vile kahama, mwanza, arusha etc
Isiwe...
Natafuta taa za solar za kusomea.
Nitapata wapi hapa Dar? Naomba location na contacts za wauzaji kama inawezekana. Nahitaji nizipate kesho.
Maana hawa watoto wetu wanafeli vibaya mno, wengine...
Habar jf. Ipo mashine ya kuangua vifaranga vya kuku -incubator. Ni manua na Inauwezo wa kubeba tray 8 za mayai. Ipo mwenge dsm. Bei ni mil 6. (Negotiable) 0713401812
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume...
Nyumba yenye uwezo wa kua na ofisi inahitajika haraka
Hello
Nna kampuni ndogo inayofanya shughuli mbali mbali ila sijapata point nzuri ya kueka physical address. Kama yupo yeyote mwenye...
Hey there
Wakuu nahitaji kusafisha cheti changu cha form 4, kuongezea pass 1 tu katika masomo niliyo chemsha.
hii ni ili kuweza kukidhi qualification entry za chuo (certificate level).
natafuta...
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume...
Wapendwa natafta perfume designer hapo juu inaitwa just cavalli her, nmeitafta sana hapa dar cjapata nililetewa na mdogo wangu wakati anatoka Italy, ameshamaliza shule harudi tena, nisaidieni...
Used for 5 months, its in good condition and functions well.
Colour: WHITE
PRICE: 399,900
ukitaka mpya nenda dukani and ask for its price... Tshs.720,000/
Hello
Nna kampuni ndogo inayofanya shughuli mbali mbali ila sijapata point nzuri ya kueka physical address. Kama yupo yeyote mwenye information ya kunisaidia karibu sana.
-Nyumba iwe na ukubwa...
JACEA ni kampuni inayoshughulika na kuuza magari katika bara la Africa. Wanayo magari mazuri yaliyo katika hali nzuri kwa bei nafuu sana. Tembelea website yetu www.japancarexporter.org. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.