Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ni chumba na sebule. Cha kulala ni self contained. Na kuna bafu na choo tena ipo kwa nje which means wageni ama ndugu watakuwa wanalitumia watakuwa hawatumii bafu lako la ndani. Ni kimara baruti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mtu anae hitaji kuku na mayai ya kuku wa kienyeji wasiliana nami kwa namba 0756868912 bei yao kwa mtu anae chukua kuanzia kuku 20 ni shilingi 10000/= kwa kila mmoja wana umli usiopungua miezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Flat ya kupangishwa inahitajika MWANZA. Lazima iwe na Master Bedroom na ikiwa Mjini ndio first priority. Iwe Ground au First au Second floor tu.
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Wakuu nauza kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili na sebule cha ukubwa wa robo eka Chanika karibu na kituo cha daladala cha Chanika. Eneo ni zuri sana watu wamejenga majumba mazuri ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauza raum ya mwaka 2000 bei Poa. Nimenunua gari nyingine..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni gari aina ya mitsubishi pajero mini, ipo katika hali nzuri, :welcome:
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari wakuu, nauza hii tablet ya Asus Nexus 7 Na in support sim card na wireless so unaweza itumia kama simu na matumizi mengine makubwa. Ina specification zifuatazo, Ram 1gb Android os 4.0.1...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Apple MacBook (13.3-inch) Processor type: Intel Core 2 Duo Speed: 2.4 GHz RAM: 250GB PRICE: TSHS 680,000 BUT VERY NEGOTIABLE KAMA UNAHITAJI NICHEKI KWA WHATSAPP AU KAWAIDA 0713218388 E-mail...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nnauza nokia e63 kwa sh80000/= so kwa aliyetayari tuwasiliane kupitia 0764339400 mie niko mwanza town Wahi ofa hii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hivi hapa dar kuna duka linauza products za huawei pekeyake?? Shukrani Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ninauza external hdd mpya manganyu pamoja na seal yake ukubwa ni one terrabyte bei maelewano contact 0717957070/0767957070
0 Reactions
0 Replies
745 Views
zebigsupermarket.com Weka tangazo lako bure kabisa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau,kama inavyojieleza hiyo title. Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Kwa mtu anayefahamu kampuni zinazouza madini hapa Tanzania tafadhali naomba anijuze. Au kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata madini ya Wolfram(Tungsten Trioxide). Tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Nyumba ya vyumba viwili (kimoja ni master), sebule na jiko inapangishwa, parking ya gari 2. Bei ni laki 2 kwa miezi 6! Ipo hatua barabarani kabisa (Moshi-Arusha road) na ni moja kati ya nyumba 4...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
kama unayo ongea bei mi mwisho wangu kilo na 30!
0 Reactions
7 Replies
888 Views
Sehemu kubwa kiasi tambarare inakinyumba cha vyumba 2 nachoo yombo kwaalbowa mkoa dar wilaya temeke Barbara yalami naumeme nguzo IPO uwajani kwan kwenye ivyohaujaingizwa umeme ukubwa mit 35 urefu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau natafuta fremu arusha lakini iwe sehemu ilichangamka
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Samsung Digital camera in good condition for sale. PM Please
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Mwenye kujua utaratibu wa kupata fremu eneo hili anijuulishe, niliwahi kuulizia nikaambiwa huwa linakodiswa kwa square meter.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom