Viwanja vipo sehemu nzuri ambazo zinafaa kwa makazi , mji tayari umeendelea katika kiwango cha kutosha , huduma zote muhimu zipo. kuna viwananja vya 25 x 35 bei 2,800,000 na 30 x40 bei 3,800,000...
Shamba linauzwa. Lina ukubwa wa ekari mbili
Lipo karibu na Luther Girls School Bagamoyo
Eneo zuri sana kwa Biashara kubwa, Makazi na hata kilimo
Bei ni 120mil. Madalali hawatakiwi.
PIGA 0652351207
Nauza kiwanja changu ,kipo Dar es Salaam, Mbezi Salasala – Kinzudi. Unaweza kufika kupitia Mbuyuni(Bagamoyo road).
MAELEZO YA KIWANJA;
Kiko umbali wa mita 200 kutoka stendi ya daladala ya...
Eneo la hekari 19 linauzwa ,lipo mkuranga manambaya linafaa kwa matumizi mbalimbali .kama shamba , makazi au kupima viwanja ,chuo,mambo ya kidini nk.
lipo mkuranga mwanambaya mkoa wa Pwani ...
Nauza Iphone 5 16GB, white in color na ni mpya haijatumika kabisaaa.
Bei ni 1 million.
Sellers location: Dar
Phone: 0655003510
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using JamiiForums
Nimewahi kutuma magari mengi kutoka Japan pamoja na makontena kutoka Marekani, lakini experiences zangu zinatofautiana sana kuhusiana na uwezo, uaminifu na gharama za kutoa mzigo wako kutoka...
habari wakubwa naishi Mwanza na ninafanya hizo mambo!na nina mpango wa kufungua my own photo studio ya kisasa hapa Mwanza na hiz ni moja ya kaz zangu chache(mwanamume aliyekaa ni pic yangu halisi)...
Anything Express is a leading sourcing and export company based in the UK and Dubai with a massive clientele base in East Africa.
We deal with the sourcing and export of all types of items and...
Wanajamii
nimenunua vitu vya dry cleaners
nimenunua mashine ya kufulia 12kg
mashine ya kukaushia 12kg
masine ya kufungia nguo
mashine ya kusafisha carpet
generator 3 phase
hanger ya kuwekea nguo...
Sichagui sana lakini haya ni kati ya yale nitakayoyaangalia zaidi
Android angalau 4.0 (Ice cream Sandwich)
Camera angalau 5mp
Display screen kuanzia 3.5 - 4.5 inch
Niko Dar, mwenye hilo deal ani...
Habari Jf,
ninauza gari aina ya ISUZU TROOPER.
Year of Manufacture. 1996
Color. Silver
Engine capacity. 2700
odometer. 160000
Fuel. Diesel
Good condition.
ipo Arusha.
Bei ni 10M, maelewano yapo...
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na...
Nasisitiza piga hizo namba hapo juu kwamahitaji ya kutengenezewa mageti, grill za milango na madirisha,vitanda vyachuma kwa matumizi ya nyumbani, hostel,guest house, pia viti vya chuma kwamatumizi...
Wakuu mwenye tatizo lolote au mwenye kuhitaji ushauri unaohusiana na satelite dish such as DSTV,ZUKU,FREE TO AIR DISH,TV HOTEL tuwasiliane! Cont:0788 405060
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.