Nyumba ya kawaida inauzwa sh. Mill 35, ina eneo kubwa. Na Shamba lina uzwa mill 25, lina miembe,minazi, vyote hivyo vipo kibaa mwendapole. Kwa maelezo zaidi piga namba hizi :0717 008781 / 0656652807.
Kiwanja chenye ukubwa wa ft100 kwa ft110 kinauzwa, kipo mbande hatua chache kutoka stand kama unaelekea mvuti. Nikizuri sana na bei yake ni mzuri sana. Ukiwa unahitaji ni PM.
Nashukuru kwa...
habari zenu wakuu.
Naomba msaada kwa members wa morogoro wing, nimehamishiwa moro kikazi, naomba msaada kwa anaemjua dalali wa nyumba anipatie namba zke. Or kwa anaeweza kunisaidia kupata chumba...
Wakubwa natarajia kuja Tanga next week Tuesday 19-02-2013 na nitahitaji PA system katika shughuli yangu. Mwenye nayo au contact tafadhali anipe PM this is urgent please.
Hii itakuwa kwa ajili ya...
Kwa kweli kwa mtu anaejali ubora wa ngozi yake, basi tafadhali ajaribu sabuni hizi, zimetengenezwa kwa njia ya asili ni Tiba na kinga ya uhakika kwa ngozi yako pia zinakat chumvichumvi iliyoko...
nauza external hardrive mpyaaaaaa na seal zake ni ya transcend one terrabyte kwa alietayari tuwasiliane kwa number hii 0717957070 na hata kwa installment hella yako itapokelewa
kwa maelezo zaidi tembele website yetu www.jordanexpress.co.tz sign in ili uweze kujipatia up dates za vifaa tofauti kama spare za magari pikipiki generators vifaa vya kutengeneza barabara...
Nina shida ya haraka sana na galax pocket mwenye nayo plz aniuzie,nina Tsh 150,000/= lakini inaweza kupungua kutokana na hali ya bidhaa.No yangu ni 0712494808.
KIWANJA KIKUBWA 70*70 (EKARI MOJA) AMBAKO NDANI KUNA NYUMBA MBILI - Moja ya kupaua na ya pili IMEFUNIKWA NA MADIRISHA TAYARI ni finishing ndogo ndogo tu.
Tuone wazee wa kazi dodoma tukupeleke...
Nauza professional camera..zipo nje ila kwa atakayehitaji I will deliver within 1-2 weeks...sihitaji advance kwa atakayehitaji ila awe ni mteja. Ni imara na genuine si za mchina.
1. Canon...
habarin za kazi watanzania wenzangu mim ni mtanzania mwenzenu ninae tafuta maendeleo nina shughulika na shughuli za bima kwa lugha nyingine ni insuarence agent bima zitolewazo no
.bima za magari...
vina ukubwa kuanzia mita 20*20 bei milion 2 na kuendelea...
miundombinu ya barabara ipo..
wahi sasa kabla huja chelewa.
(kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577)
Nauza kiwanja maeneo ya Kinondoni B,
Natafuta dalali au mnunuzi Kama mtu
Yeyote ana taarifa naomba tuwasiliane
Au Kama unajua njia za kupata mteja kununua
Kiwanja Dar naomba tuwasiliane...
wakuu mimi nafanya biashara ya kuuza ndizi mzuzu hua nazitoa morogoro na kuziuza kwa jumla hapa dar,kama kuna dalal mzoef ama mwenye kuhitaj kwa kias kikubwa anitafute kwa 0716030083, mkungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.