Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Excavator aina ya CAT 320 digital linakodishwa. Lipo Dar es Salaam. Piga simu 0684706516 au 0716308214
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Habari wana JF Nnasumbuka kupata cartiridge ya printer aina Canon Mp250 wakati mwingine najibiwa kuwa printer hiyo haipo. Kwa anayefahamu mahali nnapoweza kupata cartridge hyo nnaomba...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Nauza nokia c7 ni used ila iko kwenye hali nzuri bei ni 320,000. Anaehiitaji napatikana kwa namba 0713872828.
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Ukubwa nii skwea mita 2218. Lipo Kitunda Kati,karibu na barabara ya lami,kituo cha mabasi-Masaai umbali wa mita 100 kufika kwenye eneo. Eneo linafaa kwa makazi au biashara au shughuli nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman mshine ya pop con nitapata wapi na bei gan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwenye display ya hiyo laptop inch 15.6 anauza tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
743 Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY GSM MODEM ZTE HUAWEI VODAFONE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho). Ukubwa? mita 40 kwa 20 (pamoja na eneo la bonde ambalo halijajumuishwa kwenye vipimo) Bei? milioni 25 Sifa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni nyumba kubwa yenye vyumba 6 na banda la uwani ipo matumbi karibu na daraja liendalo kigogo,,hatuhitaji dalali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana JF Nyumba inauzwa Chidachi East - Dodoma, ina hati, kiwanja kimepimwa, na imejengwa kufikia kozi 12 ina vyumba 3 kimoja master,sebule,dining room,jiko,stoo na public toilet.Bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunatoa huduma ya Branding kwa Makampuni na watu binafsi Tunaruhusu hata wateja wa credit kwa maelezo zaidi angalia kipeperushi
0 Reactions
0 Replies
610 Views
tunatoa huduma ya Branding kwa makampuni na watu binafsi kwa maelezo zaidi angalia kipeperushi
0 Reactions
0 Replies
986 Views
imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Umeuanzaje mwaka mpya 2013 kwa ujumla
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VIWANJA VINAUZWA SIZE KWA MITA 20*20 MILLION 3, 22*25 MILLION 3.5 20*40 MILLION 6 NA 25*44 MILLION 7. (kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Green Bird Business College inawatangazia kwamba Usajiri kwa muhula utakaoanza 4/3/2013 unaendelea, kozi zitolewazo ni kwa ngazi ya "Certificate" na "Diploma" i. Procurement and Supply...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa yoyote mwenye Mziki mzuri pls nicheck kwa no 0655070703 Au E-mail telekilosa@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
15Kms from Ferry 9Kms from Kongowe Only100 meters from main road Plotsize: 1200 Square Meters (kimepimwa lakini hakina hati ie surveyed plot), 2Bedrooms Bigkitchen OpenPlan Living/Diner...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msaada jamani natafuta mahali pa kumpeleka mdogo wangu kujifunza mchezo wa basketball. kwa anaejua sehemu ambayo ina mwalimu kabisa anijulishe. tafadhali
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Back
Top Bottom