Simu ipo ktk hali bomba bei poa na inapungua wazee. Ina USB cable, ni brown colored. Dogo langu Maximilian ndo seller. Cmu ni ya ukweli, a smartphone one. Karibuni wadau!
FRIDAY, DECEMBER 14, 2012
VIWANJA VINAVYOUZWA NI HIVYO VILIVYOWEKEWA ALAMA NYEKUNDU VINATIZAMANA NA UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA
PICHA YA VIWANJA HIVYO NI ZAIDI YA HEKA NNE KWA...
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Biashara ya mayai ya kuku wa kisasaWadau wa naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mayai ya kuku wa kisasa anisaidie ushauri juu ya mambo yafuatayo:
1) Je, biashara hii inalipa?
2) Je, ni muda gani...
kama unahitaji kutafuta maisha upande wa pili wa shillingi jiunge nami tukianza kwenda south maana nnandugu yangu pande hizo,ni mawazo tu jamani kama huitaj kaa kimya kama unahitaj nipm
Zinapatikana modem za tigo vadocom na airtel kwa sh 25000 tu na modem ambazo zinaingia laini zote kwa sh 35000 na ofa kwa modem za zantel kwa sh 18000 tu PHON 0658060905
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati
Heshima kwenu wakuu, nawiwa kuomba msaada wa kupata vitabu vifuatavyo katika formats za pdf kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia. Natanguliza shukrani. Hivi vitabu ni muhimu sana kwa wenye...
Shamba hilo lipo MLANDIZI Bagamoyo road, hekari 15 kila hekari ni Tsh 2,000,000/ lina mikorosho, miembe na minazi kwa maelezo zaidi piga 0717000990 au 0764434673 au majutongozi@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.