The First, Mjimwema Pharmacy is now for sale, the pharmacy is strategically located at a busy junction of kongowe and gezaulole roads at Mjimwema,Kigamboni.
Price is negotiable, for serious...
Wakuu heshima mbele.
Kuna viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mkuranga kuanzia square meter 500 hadi 1000 na kila square meter moja ni shilingi 5,000/= . Kwa mawasiliano pm inahusika zaidi
Nawasilisha
Blackberry Bold 9000 (QUICK SALE)
Special price 200,000tshs only !!!!
(phone excellent condition, housing needs to be changed)...
price is throw away and wont stay same for long!
call 0784768786
UNATENGENEZA NYUMBA ?
TUNA DEAL-
* MADIRISHA ZA ALUMINIUM NA ZA UPVC.
* TILES NA SANITARY
* WOOD FLOORING
* GLASS BLOCKS
* SUSPENDED CEILINGS
NA NK.
WASILIANA-
inf@decortz.com
0655 76 87 86.
Hi wana JF
Nahitaji mtaalam au kampuni ya kudesign na kutengeneza cabinets za jikoni. Awe ana kazi halisi alizowahi kufanya, au samples kwny duka/workshop/show room yake. Kama ana picha, basi...
Wana jamii naomba mnisaide nitapata wapi dawa ya kuua majani yasiote mbele ya maduka YA BIASHARA yangu ninapata shida ya kuajiri watu mara kwa mara walime majani hayo lakini baada ya muda...
Being rated as the Leading SMS Job Alerts service in Tanzania and East Africa
KAZImobi with more than 50,000 subscribers country wide ( Domestic & Professional), it can make your life easier...
Specification:
Ni used, Toshiba Touch Screen Notebook Tablet
Currently Windows vista installed
Hard Disk 200GB
Ram 2.0GB
Processor 2.2GHZ
DVD/CDRW
Finger print
Webcam
Wireless
Bluetooth
Screen...
Mimi ni Music producer natafuta kazi ya uproducer mkoa wowote nipo tayari kufanya kazi nimekwisha fanya project na wasanii wakubwa kama vile alikiba, na matonya... namba yangu ya simu ni 0764435828
NYUMBA INAUZWA:
Ipo Kigamboni (Mikwambe). Kilometa 15 kutoka Ferry, Kilometa 13 kutoka Kongowe, Mita 100 tu Kutoka barabara ya lami iendayo kongowe. Ipo nje kabisa ya mradi. Kiwanja kina ukubwa wa...
MAFUTA YA UBUYU/BAOBAB SEED OIL
NI MAFUTA HALISI YANAYOTOKANA NA MBEGU YA UBUYU.UTAFITI ULIFANYWA KUHUSU MAFUTA YA UBUYU UMEONESHA KUWA YANA UBORA KULIKO MAFUTA MENGINE YOYOTE YANATIBU MAGONJWA...
Habari,
Tumeanzisha kampuni ya Consultant katika mambo ya Dhahabu na Copper.Hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of Gold and Copper mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni...
wakuu Naitaji Min laptop ya HP au TOSHIBA mpya ikiwa na kila kitu chake.............nataka vile vidogo sio makubwa ya Inch 14 hapana, naitaji haraka kwenye nayo aweke bei na contact yake tufanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.