Tuko Mbezi GOBA karibu na msikiti njia panda ya Kinzudi, kwa maneno mengine njia panda ya kwenda Goba sekondari.
Tunamkaribisha mteja yeyote mwenye kuhitaji mchele safi kwa mauzo ya jumla.
Kwa...
Waungwana wanajf kuna viwanja vinauzwa maeneo ya chamazi mbagala vinapimwa kwa mita futi kuanzia 40x60 na kuendelea utakavyo mteja kupimiwa bei ni kuanzia 2milioni na kuendelea kwa anayehitaji...
Nataka kufanya biashara ya kuuuza vinywaji moto na baridi morogoro mjini.Kama kuna anayejua existing bar inayokodishwa ili nianzie hapo, anijuze tafadhali hapa au PM
Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
Kampuni au mtu binafsi anahitajika kuwekeza na kuendeleza machimbo ya RUBBY,DHAHABU na Gemstone..
Mgodi upo matombo Morogoro At Nyamhui gold mining.
Hata akitokea mtu akihitaji kununua eneo zima...
Mkuu kama kuna mtu anaemfaham mtu yeyote mwenye uwezo wa kufundisha
Financial acc or managerial financial management tuwasiliane tuongee biashara.
Mwanafunzi ni mjasiriamali anaehitaji...
Sucessful people,in every walk of life,think and talk about what they want most of the time.They think and talk about the future and how they can make it a reality.They are continually thinking...
Wana JF
Kipindi hiki ni msimu wa kuvuna mananasi,nianatafuta mtu anayeweza kununua kuanzia nanasi 1,000-2,000 kila wiki kuanzia sasa hadi mwhishoni mwa february mwakani. bei maelewano piga...
Hello wana JF,
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Kwa wasomaji wa vitabu mbali mbali tafadhali nifahamishe kama unahitaji kupata hard copy ya kitabu fulani ambacho ni adimu kukipata kwenye...
Wakuu,
Nina Bajaj naiuza. Vielelezo (specifications) vyake ni kama ifuatavyo:
Ni 4 strokes (205 cc)
Ni ya April 2011
Iko Dar es salaam.
Bei ni Tshs 1,700,000=
Iko katika hali nzuri na...
Nyumba ya kisasa inauzwa, ipo bunju A usalama ina vyumba 3 kimoja master, sebule kubwa, public toilet, kitchen, dinning, store na eneo kubwa. nyumba imeunganishwa maji na umeme, umbali kutoka...
Wana JF ushauri tafadhali;
Katika hizi models za gari la Toyota, ipi ni bora zaidi kwa matumizi Bongo?. Yaani ukizingatia uchakavu na upatikanaji wa spare parts. Hitaji pia ni gari lenye engine...
Heshima zenu wakuu
ninaomba mnisaidie kwenye hii issue
kuna gari dogo grand mark ii inatakiwa kufanywa tax maana muda mwingi inakuwa imepark sio kwamba mwenyewe kafulia ila siku za kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.