Wadau na wafanyabiashara wenzangu.
G12 int'l tunatangaza punguzo la gharama za usafirishaji wa mizigo kutoka China hadi Tanzania
Bei zetu zitakuwa kama ifuatavyo:
20 feet USD2,500 kuipitia...
KIPO KURASINI TOM ESTATE DAR ES SALAAMkina ukubwa wa heka 1.
kipo umbali wa 5km kutoka bandarini ,
umeme na maji vinapatikana .
kinafaa kwa matumizi ya kibiashara au kuhifadhia mizigo kwani maeneo...
Wana jamii nauza kiwanja kina ukubwa wa eka na kina miti aina ya mitiki umri miaka nane. Kipo Mang'ula - Mwaya -Kilombero(w). Eneo lina faa kibiashara hostel/hospital/Hotel n.k. Bei maelewano...
Nyumba ya vyumba vinne,choo na bafu,sebule ya kupumzikia,sebule ya chakula pamoja na jiko.
Pia kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine.
Nyumba ipo Kimara mwisho - ghorofani,njia...
Kipo mbutu , kigamboni,22km toka kivukoni .hati /t deed ipo,pana faa kwa matumizi ya petrol station,nyumba za kupangisha nk
160mil .
0786149592/0717765110
BlackBerry Bold 9700 at&t unlocked used in us,in good condition for sale @ 300,000/=.
Ina uwezo wa kutumia internet bila ya kuwa na blackberry data plan. Ina applications nyingi kama facebook...
wana jamii shida imenizidia
incubator kuanzia 278- 26, kwa mayai aina zote
zote ni automatic , mult function na ni mpya .zinatumia umeme
na certicated approved
nishauza 3 , saba zimebaki
made in...
Natafuta mlinzi ila kutoka kampuni ya ulinzi, eneo la Gongo la mboto. Tafadhali mwenye kujua kampuni yoyote nzuri ya ulinzi eneo hili au karibu na hili - mwisho eneo la TAZARA. Natanguliza shukrani
Eneo lipo kibaha misugusugu hekali mbili liko barabarani hekali mbili na robo linafaa kwa sheli hata godown etc.....mwenye kuhitaji anipigie kwa namba hii 0713935738
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji...
WANA JF naamini kuna wataalamu wengi tu wanayoyafahamu vizuri magari haya Toyota GAIA na Toyota OPA,naombeni mnijulishe ubora/uzuri na ubaya/matatizo ya magari haya bse nataka kuagiza. Natanguliza...
Dear Colleague JF Members,
Greetings to all, I expecting that this good news find you well.
I am writing this to you being an information that there will be a Research Methodology...
hello, natafuta nyumba ya kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
Kiwanja kina ukubwa wa mita 30 kwa mita 20, kimepimwa na kina hati, kipo umbali wa km 2 kutoka barabarani kimepakana na kota za NSSF bei ni million 8. kwa anaekihitaji apige namba 0713872828...
Wana Jf habari zenu. Ninatafuta mashine ya kusagia karanga inayo tumia umeme ambayo isha tumika yani Used iwe tu katika hali nzuri pia kwa bei nafuu ili niokoe mladi ya mladi imekufa msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.