Mashamba yanuzwa maeneo ya Mwale Masaki Kisarawe. Moja heka 4 lina, minazi kama ishirini, michungwa, miembe n.k Shilingi milioni 10. Lingine heka 1shilingi milioni moja na laki nane. Wanaouza ni...
iko in good condition.
ni nzima no problems at all,
ni nyeupe ,
16gb ,
used ,
iko cheaped,
ina game 9 (including fifa 13)
price ni : 250,000
contacts ; 0656 211 999 , 0789 218 339
Wadau,
Ninauza Scania 124L HP 420 ya mwaka 2000 ambayo imetoka leo bandarini na iko kwenye hali nzuri sana kama ambavyo picha zinavyoonesha. Bei yake ni nzuri na iko below market price kwa...
Hii ni camera moja kali sana utafurahi kwa matumizi yake.Picha zake ni nzuri sana na imewekwa lens ya sigma ambayo kali sana.Imetumika kiasi lakini ipo katika hali nzuri kabisa wala haina...
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
Natufuta used engine ya Landcruiser, 1PZ, 5 cylinders.
Kama unajua wapi naweza kupata au unajua mtandao ninaoweza kuagiza straight from Japan, nitashukuru
:israel:kampuni ya mobile power imetoa ofa ya punguzo la 25% kwa huduma zake za
.kushoot video za harusi,kitchen part,sendoff,mikutano pamoja na kupiga picha
.kushoot video za...
Eneo lipo Kibaha mkoa wa Pwani kata ya Visiga kituo cha madafu, kufika kwenye eneo ni kilometa 3 kutoka barabara ya morogoro, linafaa kujenga, kufuga, kulima. Bei Milioni 2. Mawasiliano 0714404057
Lipo kibaha eneo la Visiga kilometa 3 kutoka barabara kuu ya morogoro road. Lingine kilometa 6 kutoka morogoro road, yanafaa kufuga, kujenga, kilimo. Bei milion mbili kila moja. 0714404057
Wakuu,
Naitaji Corrola NZX engine model ya mwaka 2003, Mile 75K maximum, rangi yoyote ile.
Au naitaji GX115 ya mwaka 2003-2005, CC 2000, Mile zisizidi 75K.
Bei maelewano, sitaki bei za wazimu...
Ukubwa ni heka 5, umbali ni mita 500 kutoka Morogoro road, maeneo ya Visiga madafu, bei ni 125m.umeme upo pamoja na maji, ni zuri kwa yadi, godaun, nk. simu 0764434673.
Plot ya ukubwa wa futi 90 kwa 50 inauzwa, maeneo ya Toangoma kwa Sako. Ni karibu kabisa na shule ya sekondari ya St. George. Limezungukwa na makazi ya watu. Bei ni sh. mil 2.2. Hamna dalali.
Simu...
Wakuu
Naweza kulipa laki 8 au 9 kwa mwezi. Nitaweza kupata nyumba Kawe beach, Jangwani Beach au Mikocheni?
Au nisijisumbue niende tu nikatafute maeneo ya Mbezi beach, Kijitonyama na Makongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.