Habari Watanzania wenzangu.
Ninaombi maalumu ninatafuta ofisi ya kupanga kuna kampuni nimefungua ndio natafuta ofisi, uwezo wangu wa kulipia pango si zaidi ya laki moja. Bahati mbaya sina pesa ya...
inahitajika nyumba ya kupanga dar,maeneo ya kinyerezi,ukonga,kurasini au segerea,iwe na maji,ndani ya fensi,hata kama haina maji,basi iwe na tank la kuhifadhia maji,vyumba vitatu.Aksanteni sana
Hello wana JF
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe......napendelea iwe maeneo ya TCC ama upande wa Mchicha. Iwe na room moja na sebule yake pia.
Regard,
Bwana Kimbunga
Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari...
Ndugu wadau nahitaji kiwanja kwa wakazi wa arusha chenye at least ukubwa wa 22 x30. Hii ni minimum kama kipo kikubwa zaidi ni vema pia. Kiwanja kisiwe porini sana na pia kisiwe mjini. Kiwepo...
Wadau, merry x-mass!!!
Nilinunua ka simu kangu ka blackberry #8100 nilipojaribu ku download skype inasema hii simu hai support skype. Ninachotaka kujua ni blackberry kuanzia number ngapi ina...
Memory card mpya za 2 gb na warrant ya mwaka mzima kwa sh elfu 6500 tuuuuu!!! nicheki kwa 0764435828 au 0718512630 nipo Mabibo wahi mzigo ni mchache...
mambo vipi?
okay, mimi leo nimekuja na used iPhones mbalimbali kwa affordable price.
iPhone 3GS kwa tsh 3.5k
iPhone 4S kwa tsh 5k
iPhone 5 kwa tsh 8k
kwa anyone who is interested anaweza...
computa hp flat screen specification zake pentium R dual-core cpu E5400 @ 2.70GHZ 2.69GHZ,1.96GB OF RAM inauzwa ipo kwenyehali nzuri nimetumia miezi nane n original natoa galantii mwaka 1 kama...
CGS Tanzania Limited Imeamua kuipa nguvu biashara yako kwa kukusambazia Vifaa vya stateoneries na office equipment kwa gharama nafuu popote tanzania
-Utaweza kufanya Order Online na kupokea mzigo...
Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.