Mimi ni kijana mwenzenu nina miliki kiwanja,,nataka nitumie kiwanja changu km dhamana ili niweze kupata mkopo wa laki 5 naomba kwa mwenye moyo anisaidie kwa hilo.
Heri ya christmass wana jf; Mimi nimehamia arusha (mwaka moja umepita) kutoka musoma na kule nilikokuwa nilikuwa nafanya biashara ya duka la rejareja. Nimeshindwa kuliendesha nikiwa huku hivyo...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa eneo la Bagamoyo Kitopeni block H, Barabara ya Bagamoyo, km mbili kutoka Bagamoyo mjini, vina ukubwa wa meta za eneo 1000 yaani 40 x 25. Kampuni inayosimamia mauzo...
Wadau, natafuta data cabinet 9U piece 3 kwa ajili ya Cisco switch za port 48. Mind u, switch za cisco urefu wa kuingia ndani ni mkubwa kuliko za d-link. nimejaribu za 600x450 lakini naona hazifit...
simu used Nokia Asha 200 Inauzwa bei cheee!!!!
spccification ni 4...GB
V 10.60
RM...761
LANGUAGE
V10.60
imetengenezwa tar 20/01/2012
bei ni 120000 nicheki kwa 0764435828 au 0718512630 nipo mabibo
Bajaj 4stroke inauzwa ipo katika hali nzuri imetembea miezi 6 toka inunuliwe ni kama mpya
ipo maeneo ya sinza kumekucha
bei 3.5 milioni
contact
0714812375
nauza piki piki yangu bomba aina ya Kawasaki D tracker,
COLOR: BLACK
DESIGN: STREET BIKE
CAPACITY 250cc
PRICE = 5,000,000/=
MAONGEZI PIA YAPO.
CALL 0715353108
mwamalekela@gmail.com
Touch and type with a stylish look, 5 mp camera with a flash, 8GB internal memory, with a card slot tht supports up to 32GB microSD card. Used but in mint condition. The price is Tsh 450,000...
Ukubwa heka 10 lina mikorosho na minazi, lipo karibu na makazi ya watu ni zuri kwa matumizi yoyote, gari linaingia, bei Tsh 2m kwa heka, nitafute kwa 0717000990/0764434673
Nauza hii camera ya Fujifilm ambayo imetumika Uingereza na ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote.In 10.0MP na inakuja na charger pamoja na Battery mpya 4 za kuchaji pamoja na memory card ya...
Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha.
Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.