Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja kina ukubwa wa ekari moja kasoro mita 15. Unashuka kituo cha daladala seminari juma ya kituo cha tanesco. Kipo karibu na World Vision kilometa 1 mbele kina bikoni pia. Bei 40mil...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna kipindi kulikuwa na gym nzuri pale oilcom lakini imefungwa, hivyo nauliza wadau ni wapi kuna gym iliyo karibu na maeneo ya ubungo au sinza? Than you!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta external hard drive ambayo ina space ya 1TB 3TB ama even higher....ni pm or +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
790 Views
WanaJF Yoyote anayejua bei ya hizo simu anijuze,iwe za zile vodacom au hata maduka mengine
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY GSM MODEM ZTE HUAWEI VODAFONE...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
TRUE ROAD TECHNOLOGIES Limited is a Tanzanian leading career andpersonal development company established in November 2012 to spearhead personaland career development programs in Tanzania. It does...
0 Reactions
3 Replies
855 Views
pls jaman kwa anaeuza laptop aina ya dell au hp au aina nyengine iwe na hdd 500 gb na kuendelea ram 4gb nakuendelea iwe na speed nzuri na betri zuri isiwe imechoka sana. Nipo dsm makumbsho...
1 Reactions
3 Replies
868 Views
NOKIA Asha 200 used kwa miezi saba inauzwa kwa 110000 tuuu!!!!!! hizi ni sifa zake 4 gb of Ram 2 line or sim card rrm 761 (nokia) virtual variant language v 10.60 20-01-12 nipo mabibo nicheki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashamba matatu yenye ukubwa wa ekari 1. Yapo kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka Morogoro road, bei...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
lilikuwa Shamba na sasa limebadilishwa matumizi na kuwa makazi hivyo kinauzwa kiwanja Eneo: Bunju A. Block F Umbali: 2.5 km toka barabara kuu iendayo bagamoyo kinafikika kiurahisi ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau, Naomba maujuzi(legal requirements ) na baadhi ya details kwa wenye ufahamu juu ya biashara hii..ningependa kujua mara baada ya kusajiliwa brela kampuni yangu/frm natakiwa kujisajili na...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wadau habari za leo? Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM. Vitabu vifiuatavyo:-...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF,ni wapi wanauza CD Software za Acoustica Mixcraft 6 hapa TZ?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi, nahitaji laptop kwa 230,000/= kushuka chini. No longo longo. Iwe tu na ram Nzuri + Discspace. Inbox me
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji mkopo wa haraka nina biashara zangu,maduka, nipo kariakoo, ninahitaji mkopo unaoanza mil.30 ,naomba masharti ili niweze kupata huo mkopo.ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf naomba kujuzwa kama kuna sehemu (chuo au shule), naweza funzwa jinsi ya kutumia ala za muziki katika jiji la Arusha. xmas njema!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji laptop mpya na betri yake iwe mpya. RAM 4gbRam 4gb+ Processor core i3 au i5 Hd 500gb With regards iwe toshiba au hp NB: iwe...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
530,000 tsh.
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Shamba linauzwa Morogoro Kihonda liko barabara ya kuelekea Dodoma kutoka stendi kuu Msanvu kama Kilometa 15. Lina ukubwa wa Eka kama 30 kila Eka ni Tshs 300,000/=
0 Reactions
20 Replies
2K Views
only @ TSH 250,000/= used but in excellent condition!! -with 3G , wifi , camera with flash etc include : phone , battery , battery cover, charger , usb cable Quantity 3 serious buyer call ...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom