Wadau mimi naishi arusha na nahitaji simu tajwa hapo juu au simu yenye uwezo wa kufungua pdf na skype na iliyoke efficient kwenye internet. Nina shs 200,000 cash.tuma text kwa 0713704914 au ni pm.
I am selling a new model toyota caldina 2003 imported in september 2012. It is in very good condition. Reg is T...CCV. Other details..1800cc, 78,000km (digital), VVTI, silver calor, automatic...
Mahali : Mikese Morogoro,karibia na sehemu wanapopimia magari ya mizigo na mikoani,umbali kama mita 200 kutoka barabara kuu.
Ukubwa : Heka tano
Ziada : Kinafaa kwa uwekezeji katika shule au...
Natafuta simu nzuri,
budget yangu 100,000/-tshs.
Preferred phones-
samsung pocket
sony ericsson mini xperia
ikuwe smart phone.
na kama ina problems, labda nitanunuwa lakini muzaji akuwe wazi.
Habari wanajamvi,
jamani ninaombeni ushauri nataka kufungua duka la bidhaa reja reja hapa Dsm. Tatizo sina idea na hiyo biashara najua hapa kuna wataalamu. kwa mtaji wa sh. mil 2.5 je naweza na...
wadau natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza ,mwenge ,kijitonyama ,iwe na fence ya ajili ya parking ya magari mwenye taarifa nijuze humu then nita ku pm
mzigo wa simu used but in a mint condition.
Kuna HTC wild fire za kumwaga kwa lak 220,000/=
Kuna HTC desire za kumwaga kwa 270,000
Kuna samsung galaxy s1 za kumwaga kwa 420,000/=
Kwa...
kipo maeneyo ya ponde karibu na barabara ya rami kutoka kigamboni feri ni km 20 kwa gari ukifika ponde kilipo ni ni mita 150 tuu toka barabara ya rami ki upana wa 67kwa 55 kasikazini kusini 70...
Kama nilivyoliandika tangazo kwa yeyote mwenye NOKIA x2 au simu nyingine yoyote inayosupport whatsapp anitafute haraka ....
DAU LANGU NI 95000 HADI LAKI MOJA KAMILI MWISHO......
Napatikana Mabibo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.