dell insparion N5010,wide scree HD webcum,RAM 4gb, hard disk 500 gb,i3 dual core 2.6 pia ina DVD writable....mzigo ni wa ukweli bei ni laki 9 ila maelewano ypo.
Ukiona hii bei huielewi we jaribu...
nna nokia E63 iko poa na ina full apps kam whatsapp,skype,nimbuzz,wechatapp,joiku.,netqin na nyngne nyingi tu...OS ni symbian s60v3...price ni 160 tu...kam unaipenda ni PM
SOLD ***** SOLD ***** SOLD
Nauza Blackberry curve 8520, Nimeshaitumia, ina few scratches lakini Inafanya kazi vizuri sana. Bei ni 100,000 tu. Inakuja na charger yake original.
SOLD ***** SOLD...
Viwanja 4 vinauzwa vina hati vipo maeneo mazuri 1, sqm 790 bei ml 11, 2, sqm780 bei ml11 3, sqm 760 ml 10, 4, sqm 720 bei ml 10. Huduma za jamii zipo ni pazuri kwa makazi na biashara kwa...
Naleta habari njema kwa wafugaji wa kuku. Jamani natafuta mayai ya kuku wa kisasa na kienyeji. Mwenye mayai aniambie bei na anaweza toa tray ngapi kwa wiki.
Kina ukubwa wa robo ekari(30 kwa 30) unaweza kujenga nyumba ya vyumba sita na mabanda ya uwani.
Kipo takribani robo km kutoka barabara kuu iendayo kusini.
Ni km 27 mpk 28 kutoka mbagala nauli...
Compaq Presario
Widescreen HD
Ram 1gb
Hdd- 80gb
WLAN
DvD/Cd Rw
Bei ni 400,000/=
Ni Used lakini ipo katika hali nzuri sana
Kwa mawasiliano -
0682 017 620
Wahi fasta mzigo upo sokoni
Pangani - Tanga
Pangani Farm: 38 acres · Title deed available · Orange farm · Located at Kimanga, Pangani Tanga (12 Kms from Pangani, 40 Kms from Tanga and 36 Kms from Mheza) · All season...
wana Jf naomba tena kupitia mods kuwajulisha kuwa mali nilizozitaja hapo zinauzwa na hakuna dalali hapo utazungumza na mwenye asset moja kwa moja.ghorofa lipo mbezi beach karibu na bahari ya hindi...
Macbook pro i7 new 250GB-1.2m----SOLD
Macbook pro i7 new 750Gb-1.5m----SOLD
Macbook Air i7 new 80Gb-980,000tsh----SOLD
Hp envy AMD quad Core 750GB new-1.1m
Ipad 3 with 3G used good...
Habari yenu Wadau kwa yoyote aliyemwenyeji au mkazi wa Arusha Natafuta Nyumba ya Kupanga Maeneo ya Mbauda au Shams iwe na gharama Kati ya 100 au 150k atleast kuwe na Maji,umeme na Geti na pia iwe...
ni blackberry curve 8900
ni mpya imetoka south africa.
inakuja box lake, usb, na charger.
inapatikana dar es salaam.
kwa mawasiliano . 0718355635
bei 260,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.