Toyota Passo for sale...2005, KGC15-0019152, AHSBK, engine model 1KR FE 0179953. Cc 990 petrol, 92500 milege, white colour..serious buyer plz (0715/0767-483570)
Shamba lenye ukubwa wa heka 250 linauzwa tsh milion 300.Shamba lipo mwanza-kisesa na lipo karibu na ziwa victori,pia gari linafika mpaka shambani.Kwa mawasiliano nitwangie 0713 377066
Nauza kiwanja kilichopimwaa na serikali kina hati miliki kabisa kipo pugu kinyamwezi walipoamishiwa watu wa kipawa i need that money urgently nauza kwa shi milion 6.5 ni pm nipo serious mwenye...
Nyumba inauzwa bei rahisi kabisa, eneo la Mbezi ya Kimara km 2.5 hivi kutoka Kituo cha daladal temboni, Wahi bei Rahisi madalali hawatakiwi Mwenye Nyumba no. 0782052701
wadau za jioni??,, natafuta simu aina ya nokia,,,kama nilivotaja aina ya model hapo juu,, napatikana arusha, lakini sku hizi mambo ya mtandao, we can just do business from any part of the world...
habari wana jamvi,
leo nimewaletea Harrier( the cross country runner.)
body type; station wagon
colour; silver
engine capacity; 2990 6v VVti engine
petrol; 5 seats ;from japan
manufacture; 1998...
Hi People,
Nina rafiki yangu anataka kutembelea Arusha, ananiomba address mbili tatu ya tours agent wa Arusha ambao hawa-charge sana.
She is coming for private things, and she is taking a week...
IPO KARIBU NA KIJITO NYAMA KITUO CHA POLISI.........NI NYUMBA YA KISASA KABISA NI NYUMBA YA TATU TOKA BARABARA YA LAMI IENDAYO SAYANSI K NYAMA
CONTACTS
0714812375
0784562131
email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.