Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Khabari wanajamii! kiwanja kinauzwa, kipo kwenye eneo zuri lililojengeka kwa mpangilio, huduma za umeme na maji zipo. kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20, kiwanja kipo mapinga upande wa kulia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa TSH 150M. Maelezo na Picha yako kwenye attachment
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada katika kuanzisha uchomaji wa kiepe jjn dar es salaam niandae kiasi gani kama mtaji. Tafadhari wakubwa maana kujibweteka tu na kusoma mwisho wa siku utajikuta...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Habari wakuu, Nauza Bold 9900 white na black. Bei ni TZS. 650,000/= Tuwasiliane kwa 0655 003 510 Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
948 Views
kwa yeyote anae hitaji taarifa za siri kuhusu jambo lolote anitafute.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahitaji chumba kimoja au hata viwili(chumba na sebule) vya self kwenye mitaa husika hapo juu. Naomba hata mwenye namba za dalali tu anisaidie maana nna shida kweli.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Khabari wanajamii! kiwanja kinauzwa bunju b kimepimwa kina hati kiwanja kina ukubwa wa sqm 2,243. bei yake ni ml 40 maongezi yapo kwa mhitaji contact 0714104788 au0714107215
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Hello JF Kama Kuna Wadau Wako Mwanza au Wanajua Mwanza Mashamba yanapatikana wapi kuanzia hekali 5 kwenda mbele Tujulishane hapa..... Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kiwanja kinauzwa kipo kisiwani Mafia, kina ukubwa wa square meters 1019 na kimepimwa! Anayehitaji PM please Ni medium density na asking price is 3.5m Tsh. Eneo ni Kilindoni
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jamii nahitaj chumba cha kupanga Karibia na Chuo cha IFM....... Kiwe self contained Gharama maximum 1200000 kwa mwaka nisaidieni
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Lipo mtaa wa Nyamwezi. Limekamilika. Bei 2.5bilioni.Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au tuwasiliane kupitia barua pepe hii info@kitomai.com.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya kisasa inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Iwe na maji na umeme wa uakika. Dalali...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Nyumba inahitajika kwa ajili ya kupanga maeneo salama na mazuri huko Morogoro, Tanzania. Iwe ya Kisasa yenye vyumba kati ya vitatu au vinne. Dalali hatakiwi katika zoezi hili. Unaweza tuma picha...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
2K Views
width: 2.31 inches depth: 0.24 inches weight: 3.10 inches height: 4.86 inches capacity: 64 GB camera, photos and video: 5-megapixel iSight camera HD video recording wireless: wi-fi +...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
iphone....700000 htc desire.....500000 maelewano yapo pia!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wadau...natafuta eneo la bar linalopangishwa sehemu yoyote jijini dar...iwe bara barani na iwe na parking...dalali kama yupo ni poa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa anaeitaji sembe super nyeupeee...kwa jumla kilo5, kilo10 na kilo 25...niPm kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko mbezi kwa yussuf (off morogoro roard) interested person tuwasiliane kwa +255784367836. Ina: 3 bead rooms ( 1 room master), jiko, store, dinning, sebule, floor and wall tiles; ceiling gypsum...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Wakuu ninakiwanja morogoro eneo la Lugala pembezoni mwa mazimbu, eneo maarufu sana kwa kuchimba mchanga kwa sasa kuna watu wanaishi, mji yapo planned na nimeshalipia. Kinaukuba eka moja. Bei ni 4M...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom