Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
khabari wana JF! kuna eneo zuri lililoandaliwa kwa ajiri ya gereji linauzwa eneo lipo tegeta magereji lina hati ya pamoja ukubwa wake ni mita 35 kwa mita30 eneo lina frem 4mbele ambazo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji fremu moja ya biashara eneo la manzese, ubungo, riverside, mwenge, mbezi louis,kariakoo......ni PM kwa bei....inatakiwa haraka!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi,Wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta kazi nimekosa so nimeamua kujiajiri na kamtaji kidogo.Naomba kama kuna mtu mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi,wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta ajira nimekosa so nimeamua kujiajiri na kimtaji kidogo.Naomba mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane 0715/0755 200221...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Habari wanajf. Nauliwa wapi naweza kununua decoder za ting? Maajent wake wanapatikana wapi na kama kuna mtu ana namba naomba
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta ​BB Bold 9900, Unlocked -Used, but in good condition and good price! pls PM
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa imekamilika yaani [ aluminium, tiles,gypsum,] ina garden nzuri, parking kubwa, gate, vyumba3 master1 kubwa, sebule kubwa, public toilet, jiko, store, studyroom...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Toyota Surf is being sold as appears on the picture, Automatic, Diesel Engine, at working condition, well maintained and has mainly been used in Dar es salaam It can be seen on week ends...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nyumba ya kupanga vyumba viwili sebure jiko na choo maeneo ya Mwananyamala kinondoni makumbusho knyama inatakiwa nina 150-180, 000/= kwa mwezi kodi ya mwaka ipo namba ni 0715 69 69 20
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
0 Reactions
6 Replies
1K Views
any of the phone mentioned is needed ASAP, if you have one for sale om me
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Nina ka Bar kangu nahitaji ka projector kwaajili ya Kutazamia Mpira. mwenye nayo ya Bei Nafuu Naomba anisaidie Tafadhali. Available @PM.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Laptop inauzwa ni LENOVO T61,battery ipo poa kabisa.Bei ni 300,000/= maelewano ya biashara yapo. 0713513637
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa yeyote atakayefanikiwa kumwona awasiliane kwa namba zifuatazo: +255 784 215 559 +255 767 215 559
1 Reactions
15 Replies
2K Views
samsung galaxy pro bei 370. Na samsung galaxy pocket bei 250 .NO NEGOTIATION..0657197186
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SOLD SOLD SOLD SOLD salam wandugu, Scania 113/360 horse, bado haijaanza safari namtafuta mteja wa kulipa advance kidogo hili nimletee. bei nitakayomuuzia mil 40. Gari ni 1993,ni gari ya kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tablet with support for GSM voice communication, SMS, and MMS. GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 Announced 2012, February Status...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chumba self contained kinahitajika maeneo ya mianzini,Arusha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IPHONE 3G 8GB FOR 260000TSH IT COMES WITH CHARGER,SCREEN PROTECTOR,USB CABLE selling price 260000tsh call 0653269241
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Back
Top Bottom