Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nina hitaji simu tajwa hapo juu nina elfu 80....kwa mwenye nayo tafadhali....
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Kwa wenye uzoefu na ununuzi wa flat screens na furnitures Dar naomba mnipe uzoefu wenu wa duka ambalo lina fare price but quality products nilizozitaja. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
28 Replies
14K Views
ambaye yuko tayari kutoa iphone 4 nimpe iphone3g pamoja na hela ,tell me ni kiasi gani......iphone3g ipo kwnye condition nzuri,whoever is ready ani pm
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Ni mpya kabisa,nimenunua just a week ago kwa alf95...lakin nimepata matatizo....nauza kwa alf75 tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu aina ya Nokia E7 mpya (brand new) inauzwa TShs 600,000/-. Tuwasiliane kwa sms kwenye mobile No. 0765 010 231
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VIWANJA MBEZI LUIS KILOMITA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD NJIA YA KWENDA GOBA MITA 22*22 MILION 3.5. (kwa taarifa zaidi PIGA: 0718334726-anthony)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamii kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari zenu wadau!! natafuta bodi la toyota corola 4k au carina,liwe linasupport rear diff. Kwa yeyote alienalo au mwenye kujua wapi naweza kupata ani pm. Msiulize injini na gearbox jamani vyote...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
MeTL CEO- Mo Dewji The Appeal Court of Tanzania has nullified a High Court ruling made against Mohamed Enterprises (T) Limited (MeTL) in favour of an official acting as an agent of the Libyan...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa kwa mwaka tsh mil 6 iko karibu na mbezi beach primary school,Mawasiliano piga 0655444440
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wamebaki wanne, madume wawili na majike wawili. Bei ni 500,000 kila mmoja. Wote wana chanjo na kadi. Umri wao ni wiki 8 Kwa anayehitaji nipigie 0715112111
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau natafuta shamba/pori la kununua mkoani Morogoro hasa katika maeneo ya Mikese,Dumila,Kilosa,Mvomero au Dakawa,liwe linafaa kwa kilimo cha mpunga/liwe eneo linalowezekana kufanya kilimo cha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
WE HAVE IN STOCK 58,500 new B Twills Jute Bags; Size: 44" x 26.5" Weight: 2.25 lbs (1020gms) Porter and Shots: 6x8 PRICE: 4500 /PC Interested contact us at: +255 713 544 454 - Joel +255...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Natafuta mayai ya kuku trey 300 kwa wiki. Kwa wale wenye mayai waniambie bei niwatafute hususani kwa wafugaji waliopo dar es salaam
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Eneo zuri kwa ajili ya uwekezaji linapatikana. Eneo lipo Arusha- Wilaya ya Meru- Maji ya chai, mita 200 kutoka Moshi-Arusha road. Linafaa kwa uwekezaji/Ujenzi wa Shule.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
wakuu nauza original adaptor ya toshiba inayochukua input ya100-240 V na output ya 15V bei yake nio tsh.30,000 tu kwa anaeitaka ni pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu kuna gari yangu ya biashara niliisusa karibu mwaka wakati nipo safari sasa nimeamua kuwaachieni.. picha zinajieleza.. interested buyer inbox me.. thanks
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hi,wanajamii.kiwanja kinauzwa 12 m ukubwa 625 meter square kipo mbezi inn.karibu sana.nichek 0715/0755 200221
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chumba kiwe kizuri na mahali pa usalama bcoz ni mwanafunzi anaenda kukaa pia ikiwezekana kama kuna hostel ni poa tu
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Back
Top Bottom