Viko viwili eneo la KIJICHI - MGENINANI kimoja ukubwa wake ni square meter 527 bei yake nh 20 mil na kingine ni square meter 480 bei yake pia ni mil 20. Gari linafika bila tabu yeyote. For more...
Wadau,
Radio Consult Limited tunatoa huduma safi sana kama ifuatavyo:-
1. Unahitaji kuanzisha radio na hujui cha kufanya?
2. Radio yako haitoi faida na inakaribia kufa?
3. Radio yako haina...
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi...
Ndio...ni overdraft ama working facility kwa makampuni yenye uhitaji. Inatoka from 200mil to 2.5bil ndani ya siku 21 frm the day that all necessary documents are submitted to us...tupo serious kwa...
Tafadhali wakuu wa kazi,
Najua nikiamini Mungu wangu yupo pamoja nanyi, sasa me mwenzenu nahitaji screen ya laptop niliyoileza hapo juu msaada tafadhali.
Kwa kifupi simu yangu nilitaka kuiuza ila nilibadili mawazo baada ya kuinstall Android ikawa ina os mbili ya maemo na Android gingerbread ila kwa sasa nina uhitaji wa hela nimelazimika kuiweka...
Kwa kifupi simu yangu nilitaka kuiuza ila nilibadili mawazo baada ya kuinstall Android ikawa ina os mbili ya maemo na Android gingerbread nikabadili mawazo ila kwa sasa nina uhitaji wa hela...
NYUMBA hii inafaa kwa matumizi ya kuishi au ofisi ipo Upanga mtaa wa longido, nyumba ina vyumba 7 . sitting room .dinging , store . na servant counter ina bed rooms 2 na jiko na store, compound...
Poleni na majukumu wakuu, ok kwa wale wakazi wa moshi na arusha wanaohitaji ku-unlock( kuchakachua) modem zao ili kuwawezesha kutumia mitandao yote na kuwa huru kuchagua mtandao wowote...
Ndugu Watanzani
Karibuni kwenye huduma yetu mpya ya kuhifadhi udhamini (warranty) za simu. Wadau wengi wamekuwa wakinunua simu na kupewa udhamini wa muda fulani wa simu zao. Ila pindi wakipoteza...
Habari wanajamii. napenda kuwafahamisha wale wenye mahitaji ya kuprintiwa document zao, iwe ni kwa ajili ya tenda au michoro kama vile ramani etc, basi usisumbuke njoo kijitonyama, akachube road...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.