Kuna trector MF linauzwa kwa sh 22.0M, Trector hili lina jembe tu na lipo Dar. Maswali yote ya utalaam piga simu hii 0754265045. liko vizuri na unaweza kuliona kama uko tayari.
habari wakuu...natafuta desktop computer (dell or hp),.. Iwe atleast na hdd 80gb,.1gb ram, pent m or intel, dvd writter,
flat screen monitor,keyboard na mouse...
N:B iwe in a mint...
Sony Ericsson XPERIA X10 mini pro inauzwa TSH 200,000Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei laki mbili sh200,000 .
wasiliana na Habibu 0717810318
Product Information
Ask a friend...
Blackberry Bold 9700 for sale usedNauza blackberry bold 9700 .imetumika lakini ina fanya kazi na haina matatizo wasiliana na habibu 0756766588 or 0717810318 bei shs 260,000
Attached Thumbnails
Samsung mobile phone gt-s3650 2.0mp camera full- touch lcd microsd inauzwaSAMSUNG MOBILE PHONE GT-S3650 2.0MP CAMERA FULL- TOUCH LCD MICROSD.
Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri na ilitumika...
Nokia n91 mobile phone forsaleNOKIA N91 MOBILE PHONE
Imetumika na inafanya kazi bei sh 80,000 .
wasiliana na Habibu 0717810318
Product Information
Groove on the go. This pumping mobile...
Kama una umeme nyumbani kwako, basi kifaa hiki ni rahisi kutumia kupunguza unene na uzito.
Bonyeza hapa kuona picha na maelezo zaidi.
Ukipenda niandikie info@g12.hk
Mashamba yanauzwa bagamoyo kila heka 1 laki 8 yapo sehemu nzuri barabara ya kuelekea kiwangwa
zipo zaidi ya heka 300 kwa mawsiliano zaidi 0714107215 au 0714104788 Mudy Muzungu
Nyumba inauzwa ipo tegeta kwa ndevu inatazamana na bagamoyo road ina vyumba 6, kolido,
na frem nne kwa mbele bei ml 190 kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0714107215
Hello!
Jamani kuna gazeti/ jarida jipya limeanzishwa special kwa mambo ya harusi linaitwa malaika magazine. Kwa wale mliofunga harusi mwaka huu na mgependa kutokea gaeteni mtume picha za harusi...
Wapendwa nahitaji simu aina ya blackbery sasa nashindwa kujua ipi ni nzuri so please naomba ushauri ninunue ipi pesa yangu pia si nyingi pls pls nisaidieni nisije nikaingizwa mkenge hapa mjini
Waungwana habari zenu.
Naomba kujuzwa kama nawezapata nyumba kwa hiyo hela hapa Dar maeneo ya Kimara, Mbezi au Tegeta au penginepo, hata kama haijamalizika. Kuna rafiki yangu anahitaji.
Asanteni
Sabafu (forester) t 285 bdx bei yake ni mill 11
isuzu (big horn) bei yake ni mill 14
vista bei yake ni mill 11
vitz bei yake ni mill 7.5
there is a room for negotiation. Call 0713532322 for more info
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.