Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kuna chumba kimoja self contained maeneo ya surve,i dk kama 4 hivi toka mlimani city, pia kuna nyumba ya vyumba viwili sebule, jiko na toilet maeneo hayo ya savei. Kwa upande wa nyumba bei ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya kuprint T-shirts kwa matumizi ya mtu binafisi, kikundi, shule nk. usisite kuwasiliana nasi. Mawasiliano: 0712336030 au 0758105225.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je gari zenye cc 660 (mfano: Mitsubishi pajero mini, suzuki kei, suzuki carry, suzuki alto, suzuki jimny, daihatsu mira, daihatsu miragino) zinaweza tembea safari ya kilomita 500-1000 kwa siku...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Linaitajika Shamba morogoro road kwa ajiri ya mifugo maeneo ya kuanzia Mlandizi kuja mpaka Kibaha. Ukubwa ni kuanzia 5-10acres. Normal price please. Serious sellers only.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Mtoni kijichi block C . Plot no... hapa Dar es salaam kipo eneo zuri na salama unaweza jenga nyumba ya makazi au biashara. kinaukubwa wa (1.12) hectares au 2.8 heka ( heka 3 kasoro...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ile ahadi ya umojaswitch kutoa zawadi kwa wateja wake kwa miezi mitano mfululizo imeanza leo, Bwana Samson Peter Migana ameibuka mshindi kwa kufanya transactions nyingi kwa mwezi wa nane kuliko...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Wadau wote wa biashara hapa nchini Tanzania, China, Hongkong n.k , naomba mtembelee website(www.g12.hk) yetu kujionea kazi zetu tunazofanya. Baadhi ya kazi zetu ni: Kutafuta bidhaa kulingana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1 kiwanja kinauzwa kina hati ukubwa wake ni square metre 1710 kipo Tegeta block "B" (MASAITI) bei ml 150 kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0714107215 2 Kiwanja kizuri kipo Tegeta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Welcome to Apprux Corporation
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Used but iko poa kimuonekano na kiafya iko poa kama unahtaji ncal 0776310003
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi ni viwanja vya kupima , unachotokiwa ni kulipa gharama kama inavyoonyesha hiyo vocha na hela yangu ya udalali ni milioni mojo kwa kila kiwanja-0712769766- viwanja hivi vimeshauzwa
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi ni vocha kama zinavyojieleza
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu mwenye decoder ya dstv anipm kwani ya kwangu nyumbani imeungua so nahitaji kwa alionayo ani PM pamoja na bei yake!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiko Bunju KM 2 toka bagamoyo road, kina ukubwa wa heka 16, kina hati ya kujenga shule, bei ni ml 800
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari yenye sifa zifuatazo inauzwa kwa Tsh7500000 na maongezi yanakubalika Model:Nisani Lucino Year: 1997 Milage: 73410KM Engine size: 1490cc Ipo katika hali nzuri, niliagiza kutoka japani may...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii heshima kwenu!Nimeona vema niwashirikishe, kuna jamaa yangu amebanwa na majukumu ambayo yamemlazimu kuuza kiwanja/shamba lake lenye ukubwa wa heka moja kwa sh mln 3.5 tu,liko kibaha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JE UNAJUA BIASHARA ITAKAYO FANYA VIZURI MWAKA 2013 NA KUDUMU KWA MUDA WA ZAIDI YA MIAKA 10 HUKU IKIWA IMARA KIUCHUMI? HIZI NDIZO ZITAKUWA SIFA ZAKE 1. ITAKUWA NI BIASHARA YA HUDUMA (service...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anajua dawa ya mende anijulishe tafadhari, nimefanya furmigation lakini wamerudi tena najitahidi sana kuzingatia usafi lakini wanarudi tena wale wadogo wadogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba 2 sitting jiko na choo na luku yake pawe panafikika ikipendeza na maji yakawepo itakuwa pouwa namba yangu ni 0786 670 121 inahitajika kufikia tarehe 15...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom