Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hi everyone! Nauza Android v4 Tablet PC bei Tsh 260,000/= Its almost NEW, nimeitumia kwa muda wa wiki moja tu. accessories ni packaging box, charger & USB cable Specs & Details -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja hiki kipo wilaya ya Temeke Dar es salaam. katika mji wa mwasonga uliopo kisarawe 2 unaingilia njia panda ya Dar es salaam zoo. ni km 35 kutoka feri ya kigamboni. kiwanja hakina hati ila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hey WanaJF nahitaji moja kati ya simu hizi...Iphone 3GS,Htc wildlife S au Samsung Galaxy Ace Duos (Android)...kama unayo tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamv. Kwa anayejua aina ya music mzuri uwe wa mwingereza, mchina na wengineo anijuze kwani nahitaji music system nzuri na isiwe home...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello friends, Nahitaji hela kiwango flani..hivo imenilazimu kuuza baadhi ya gadgets zangu kama ifuatavo.. USB TV Tuner: (60,000/=) unachohitaji ni kuwa na computer na antenna yako..unapewa cd...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa baraka tele tembelea:- www.bishopzacharykakobe.org www.fgbfchurch.org
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji playstation 2 mtumba(used) kwa anayeuza tuwasiliane 0717 403425
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Land is for sale situated at bugogwa near busweru,not surveyed,one acre,price tshs 3,300,000/-
0 Reactions
1 Replies
962 Views
kama kichwa cha thread hapo juu,natafuta chumba ambacho ni selfcontained maeneo tajwa hapo juu...bei isizidi Tsh 65000 nipo tayari kulipa mwaka mzima.namba 0757235684
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ipo katika hali nzuri ila ina tatizo la camera haifanyi kazi,kwa yeyote aliye-interested apige 0712235965...ina 8gb,bei ni 250,000,ila inaweza kupungua..napatikana Arusha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Generator ndogo inauzwa DSM Aina: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology. Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya. Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta. Matumizi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama unalo just call me on 0713532322 nikukutanishe na mnunuzi
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Sifa zake, kiko tegeta,madale kwa mbopo. kimepimwa na kina docoment zote (yaani hati),ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
200GB HDD, 1GB RAM. Intel(R) Celeron(R) CPU 2GHz. bei nzuri
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Welcome to Apprux Corporation
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Wana JF mimi nimepata uwakala na kampuni moja ya kichina inayotengeneza Tablets, smart phone na laptops wameniambia nipate angalau watu 20 ambao watanunua products hizo mara tu ya kufika nchini...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu naitaji apple ipad used kwa mtu yoyote alionayo naomba anipm pls
0 Reactions
5 Replies
1K Views
specification angalau ziwe kama ifuatavyo.... ram....2gb na kuendelea processor....2.5 na kuendelea hdd....200 na kuendelea!! email yangu hii hapa...jonx.palx@gmail.com....bei iczidi 350000
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nna laki nne(400,000). iwe nzuri... naweza ongeza pesa kama iko poa... ni PM kama unayo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza nyumba, ipo tabata segerea-Dar es salaam karibu na nyumba mpya za maafisa magereza za segerea. Nyumba ni mpya kama inavyoonekana kwenye picha. Nyumba ina sifa zifuatazo: 3 bedroom...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom