Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Sifa zake, kiko tegeta madale kwa mbopo , kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu zisizo zuilika na matokeo yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa heka 3 katika mkoa wa mwanza maeneo ya usagara mizani linauzwa kwa bei ya tsh mil 11.Shamba lipo karibu na road na gari linafika mpaka shambani.Mawasiliano 0713 377066
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wadau. Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji hawa wataalamu kwa ajili ya msaada wa kupokea na kuniletea vifaa vyangu porti ya Dar. 1. Je, ni gharama kiasi gani kushughulikia zoezi zima? 2. Ni mambo gani yanahitajika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Fully furnished appartment available for renting at Kawe area Dsm, Characteristics: 1. Self contained 2. One bed room 3. One living room 4. Kitchen 5. With constant supply of water and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa eneo la Sinza karibu na Shule ya Mapambano, kina fence. Ukubwa: 4000sqft, kinafaa kwa makazi au biashara. Bei ni maelewano baada ya kukiona. Piga 0767 591610. Dalali hatakiwi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata gari nzuri kwa ajili ya harusi nyeusi aina ya Noah new model Morogoro arusi mwezi wa tisa anifahamishe bajeti sh 150,000/= Nawakilisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninazo nyumba chakavu katika eneo la kinondoni shamba, mkwajuni na moscow zote zina leseni ya makazi zingine gari inafika zingine gari haifiki. kuna ya kuanzia 7m mpaka 90m. kwa unayetaka kuona na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu waungwana nahitaji machine ya kutengenezea kamba za usumba tafadhali kwa yoyote anayefahamu zinapopatikana anijulishe kwa email asilia_znz@yahoo.com pia anipe na bei zake na detail...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Napatikana dar na natafuta bajaj ya kununua kwa million moja pesa ya mtanzania. Iwe katika hali nzuri na inafanya kazi. Mwenye kuwa nayo tuwasiliane kupitia 0753196849. Ahsanteni.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tupo kwenye promotion kubwa katika kutengeneza (Designing) na ku host websites kwa bei rahisi. Pamoja na kukupa bei rahisi mno ya Tsh 9,000 tu kwa mwezi kwa kuhost website ya aina yoyote...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
am preparing to sit for CISA exams december 2012, am looking for some one to share knowlegde and is living Arusha please dro only a meseji 0732976493
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Sifa zake, kiko tegeta, kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni mil 14 maelewano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf. Nilikua nauliza wapi wanapoweka sticker za gari ambazo zinacover gari zima. Kuna magari yapo yana black color ambayo haing'ai. Au kama ni rangi basi naomba kujuzwa ni wapi huduma...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Shamba lenye ukubwa wa heka 3 linauzwa kwa bei ya maelewano.Shamba lipo mwanza maeneo ya usagara mizani na lipo karibu na barabara.Pia ukitaka ununue nusu ya shamba hakuna tatizo.Shamba lipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba yeyote anayefahamu sehemu zinapouzwa ipad tablets original anielekeze ama anipe link ya hilo Duka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahali/Location: Kitopeni, Bagamoyo. Mita 800 kutoka barabara ya lami itokayo Dar (kilomita moja kuingia mjini Bagamoyo na kilomita 5 kutoka Kiromo View Resort kuelekea Bagamoyo - planned...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
KIWANJA KINAUZWA,BAHARI BEACH MITA 300 TOKA BAHARINI. KINA UKUBWA WA 5354sqm, BEI NI MILLION 800(NEGOTIABLE). KINA HATI NA NYARAKA ZOTE MUHIMU. KWA MAWASILIANO ZAIDI - 0715852295
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom