Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza kiwanja changu. Wapi?Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho. Ukubwa? mita 28 kwa 26 Bei? milioni 15 Sifa zingine? . Umeme upo . Barabara ipo mpaka kiwanjani . Ni sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari,router ya zyxel inauzwa bei nafuu 85 000 tu,ina port mbili za ethernet na unaweza kukonect na intanet kwa modem au waya kutoka kwa isp,ina vifaa vyote+user manual,imetumika kidogo.nzuri kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
sitaki kulaumiwa na mdada,pendeza kwa nafsi yako,BEI ZETU NI NAFUU SANA kwa mawasiliano zaidi director@ihamsolar.com...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Shule hii ina ukubwa wa eneo la heka 15. imesajiriwa na ina vibali vyote muhimu ipo kisarawe mkoani Pwani . kushoto inapakana na kanisa la kirutheri(mission) na kulia inapakana na chuo cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jamaa anatafuta hiyo gari kwa sh mill 16 kama unayo nitafute 0713532322 nikuunganishe nae. Hela ipo Haina longo longo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Any one selling samsung galaxy s1 advance brand new call me 0784622444
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Ndugu wana JF, nyumba inapangishwa maeneo ya survei, ina vyumba viwili sehemu ya jiko , self contained pamoja na sebule, gari linafika mpka barazani kwako. hakuna dalali ukinipata mie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I need the two phone as mentioned above. They should also not be with scratches and I would prefer if I shall get with all fundamental accessories. Price should come from the trader. My #...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
inapatikana moshi Hali ni nzuri kwa 580000 Haina scratch , nyeusi,charge unapata na screen protector
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta gari kwa yeyote anayo GX100 or premio. please i am serious need
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama una fedha za Kigeni ambazo hazichenjiwi Bureau de Change nyingi ni Pm!!
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Aliyenayo tafadhali tuwasiliane 0757922293:flypig:
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Kuna hii kofia anayovaa MHE.NIMROD MKONO,Mb.wa Musoma Vijijini na Mwanasheria Nguli nchini nitaipata wapi?na bei gani wadau I am serious wakuu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
salaam wana jamii tafadhalini naitafuta gari yangu aina ya toyota harrier rangi ya silver namba T445AMS napatika kwenye namna hii 0716041044 au email kikoto007@gmail.com nimeshatoa ripoti polisi
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nauliza kama kuna review classes za CPA hapa Morogoro,nijiweke.Mwenye kujua anijuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shamba lipo Kibaha mkoa wa Pwani, karibu na mto luvu ni ubali wa 3km kutoka barabarani . shamba lina miembe , mikaratusi, michugwa . na mikorosho lina hati lipo karibu na mto umeme hauko mbali ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyota cresta 2001yr On sale. Registered REG No: T ……CA with all the paper. Low mileage 82500Km on sale for 9.5M. please contact 0713 332019.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
4bedroom 3 bathroom bedroom house to rent in Mbezi Beach-Jogoo 5 minutes from main road-TZS 680K per month paid in advance for one year. 0719 37 3131 for details.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom