Wadau wote,
Tunatoa ushauri wa kitaalamu katika mambo yafuatayo:-
1. Uanzishwaji wa radio mpya.
- Vifaa mpaka ordering.
- Lisence regestration (TCRA)
- Human resources (Tantive...
Wadau wote,
Tunatoa ushauri wa kitaalamu katika mambo yafuatayo:-
1. Uanzishwaji wa radio mpya.
- Vifaa mpaka ordering.
- Lisence regestration (TCRA)
- Human resources (Tantive...
natafuta ofisi ya kupanga, nahitaji sehemu kulipo na ofisi zingine pia, sehemu iwe ya kuvutia kwashughuli za kiofc/isiwe frem tafadhali. mahala/sehemu from eneo la ubungo to shekilango au ubungo...
Wadau, kuna promotion/sampling ya kampuni moja tulifanya na tukakusanya majina pamoja na namba zao za simu.Kwa yule anaehitaji nimuuzie tuwasiliane.Ni contacts kama 3,000 za watu wa Dar.
Kwa wale wanaohitaji: Nyumba inapangishwa ful tyles ipo maeneo ya Sinza Palestina nyuma ya msikiti na karibu na kituoni ipo poa sanaaa: Inasebule yakutosha,Vyumba 3 Kimoja Master,inachoo cha...
Eneo linatafutwa lenye ukubwa wa heka 1-3 Barabara morogoro kunzia kibamba mpaka Visjga kama una Eneo katika sehemu hiyo nijuze ofer yako tufanye biashara ni PM
Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa mbezi juu ya Tanki Bovu.Gharama kwa mwezi ni Tsh 250,000. Ipo ndani ya fensi.Kwa mtu ambaye yupo serious anaitaji nyumba ni PM.
Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri...
Sony DCR-VX9000E Pal Full Size DV Camcorder 3CCD ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye...
Waheshimiwa poleni na majukumu mbalimbali ya kila siku.Mungu aliyehai awafanikishe katika mema yote!
Naomba msaada wa jinsi ya kuipata power supply ya digital video mixer aina ya Videonics mx...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.