Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
JESHI la Polisi kupitia kikosi cha Usalama barabarani nchini kimesema jumla ya ajali za pikipiki (bodaboda) 2601 zilizotokea kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu zilisababisha vifo vya madereva...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FINEPIX Z20fd FUJIFILM 10.0MEGA PIXELS/ 3X PTICAL ZOOM/2.5"LCD 2GB SDCARD inauzwa sh 160,000.imetumika lakini ina fanya kazi na haina matatizo wasiliana na habibu 0717810318
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Canon MVX3i MiniDV Digital Camcorder [2.2MP, 10x Optical] inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa kama mpya bei ni Tsh LAKI TANOuwasiliane na HABIBU 0717810318 MVX3i With the latest...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Oven ya kupashia moto chakula ya nyumbani aina ya Samsung inauzwa kwa bei nafuu,kwa anaehitaji anitumie private messege tuwasiliane.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina nyumba ya one bedroom,sitting room and toilet ndani na ina tiles ndani,je nitaipangisha kwa kiasi gani?ipo maeneo ya sinza kwa remmy na mimi nipo mza sa c mzoefu wa huko.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Shamba linauzwa lipo maeneo ya shibura wilaya ya ilemela,lina ukubwa wa ekari moja,halijapimwa bado,bei tsh 3,000,000/-
0 Reactions
4 Replies
2K Views
is looking for a one or two room fully / partial furnished house for leasing for one week. from 11 to 19 aug 2012. please respond quikly to 0754 320 849
0 Reactions
1 Replies
793 Views
HABABARI ZENU WAKUU, NAUZA SONY LAPTOP YENYE SPECS ZIFUATAZO: Processor:2nd Generation Intel® Core™ i3-2330M Processor 2.30 GHz 3 MB Cache Chipset:Intel HM65 Memory:4GB DDR3 Memory...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BLACKBERRY BOLD 9000 3g Internet, Wifi Internet, Whatsapp, Nimbuzz, etc. Included with MEMORY CARD. Price- 250,000/-Tshs. Message if interested !
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hi guys na tafuta toyot super custome panki, bajeti 10m
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau naomba nijuzeni ni model ipi ya cannon photocopier (IR) ambayo ni durable na cheap na wapi naweza kuipata<br>
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jf Natafuta wapi naweza nunua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi. Mwenye taarifa tafadhali anijuze ikiwezekana size na bei au ani PM. Am serious friends. Thanks
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani wana jamvi, nina 6.5mil nataka gari simple but economy mfano toyota carina GT or the like. Anayeuza ajitokeze.
2 Reactions
30 Replies
9K Views
naomba kuuliza gharama wanazochaji western union kwa mtu anayetuma pesa nje ya nchi. mfano: ukitaka kutuma shilingi milioni 1 nje ya nchi, western union wanakuchaji shilingi ngapi au asilimia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
niko Dar, nataka kuanzisha ufugaji wa kibiashara, natafuta mtaalamu wa mifugo kwa ajili ya hatua mbalimbali za ufugaji. nataka kufuga nguruwe.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
toyota duet - 4.8million good fuel consuption toyota landcruiser 5 door hardtop - 20 million. simu- 0784 768786
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Bei chini ya laki nne
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Badilika sasa. Angalia ingredients zilizomo kwenye deodorant, antiperspirant roll on etc. Kama zina aluminium unaweza kupata madhara ya kiafya baada ya kuzitumia kwa muda mrefu. Tumia Aloe Ever...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ni mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,bei laki tano na nusu contact 0712013792 0754019123 specs Model A1332 (GSM model) A1349 (CDMA model) (2012-05-07) Power...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Habari zenu wakuu! ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom