Wakuu habari zenu:
Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama...
Wakuu habari zenu:
Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama...
Exciting news for farmers as Tigo has just launched a pilot project, known as Tigo Kilimo, which aims to provide farmers with relevant and timely agricultural information from their mobile...
Wandugu,
Natafuta wapi naweza kununua korosho kwa wingi na kufanya biashara ya korosho, natafuta contact za watu wa Mtwara au kokote zinakopatikana kwa bei nafuu.
nauza shamba heka moja lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu uria, bei ni million 4.5, kama upo tayari na unaitaji kweli namba hii nipigie 0652-110878
vits 8 mill
Prado tx 22mill
Swift,duet.....etc
Gari zote ni mpya kabisaa wahi sasa vilevile tunachukua order zenu kwa magari mengine kama unaitaji ni pm vilevile bei ni maelewano!!!!!
Natangaliza shukurani kwanza. Nini kifanyike kuhakikisha tairi la gari lako haliwezi kuibiwa na wezi, maana gharama za maitari sio mchezo. Mfumo wa Alarm unaweza saidia? Na mfumo mwingine upi?
Kiwanja kinaukubwa wa Sqm 2,145. kipo kibada block 11. plot .. , kina Title deed ya miaka 99 iliyotolewa 2010.
kina umbali wa .1km kutoka barabara kuu. kinauzwa Tsh. 33m . kwa anayetaka kuona...
Hatimaye Kitabu cha "MAJERUHI WA MAPENZI" kinapatikana katika Songea Digital Studio. Kwa watu wa pande hizi za "Bomba hii, nyumba hii" unaweza kupiga simu: 713548484 kuona kama unaweza kuwekewa...
Some call it the business of the 21st Century, some call it the recession proof business and the millionaire Warren Buffet call it the best investment I ever made. Its an industry thats growing...
Im selling german shepherd puppies
Age: 80days
Vaccines: yes
Breed: german shepherd
Price: usd 300
Sex: male/female
Contact: 0255754479518
puppy are nor ready as you can see in the photo
Wadau, Shamba linauzwa Mwandege - Mkuranga lipo karibu na Mwanzo Lodges. Eneo lina kisima cha kuchimba pamoja na ndani ya shamba lina maeneo mawili yenyewe vijito vizivyokauka mwaka mzima. Eneo...
habari kwa anayehitaji flashdisk kwa bei nafuu 8Gb-15,000/- na 4Gb-10,000/- , aina ni ADATA , sio product ya kichina ni imara . nakupa 1yr guarantee ikiharibika. nicheki 0714890018 .hiyo hapo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.