Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wana JF habari za leo. Naomba kusaidiwa kwa anaezielewa vizuri gari hizi. Watu wengi wanasema zina matatizo, lakini hawasemi ni matatizo gani hasa. Naomba kueleweshwa tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia. Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk. Malipo ni elfu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nahitaji corola limited ktk hali nzuri, nipo arusha 0717543373
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Eti nyie airtel hebu nielewesheni, kwenye hili tangazo lenu mmeweka hela halafu imekatwa, halafu mmeandika hauchajiwi ndio kusema kwamba hamkati hela sasa mbona tangazo lenu wenyewe ndio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
shamba linauzwa oyoyo mjini wilaya MKURANA 2KM kutoka Mkuranga ni EKA 28 bei 45.000.000/ njoo uone lipo pazuri kwakila zao mawasiliano 0655841348
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zetu wanajamvi natafuta kiwanja maeneo husika hapo juu na maeneo yanayoendana na hayo katika mkoa wa tanga,nitumiye private message kama unacho.Siku njema na weekend njema wakuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nataka kufungua account ya kampuni (ltd), naomba mawazo yenu ni benki ipi nchini Tanzania iwapo nikifungua account ya kampuni itaniweka katika nafasi nzuri kiusalama na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni brand ya Packard bell, imenunuliwa Italy, Ina webcam, ni mpya kabisa!maswala mengine ya kiufundi ni PM!bei laki 4
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Toyota Corolla EG1 nyeupe inauzwa.BEI MIL 4.5 imetembea 91898 km,na inatumika kwa matumiz binafsi....iko Dar es salaam!UNARUHUSIWA KUJA NA FUNDI KUIONA 0764 468 469
0 Reactions
1 Replies
922 Views
luckyman4u.wix.com/hackit view this site
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Habarini za asubuhi.Jamani kuna yoyote anaweza kuniambia dula lipi la vifaa vya ujenzi naweza kupata floor molding za quality ya juu kama kwenye picha hapa chini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kununua gari either carina ti au corolla e111 lakini chini ya cc 1500 bajeti yangu ni 6M iwe katika hali nzuri Nipe no tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za muda huu waungwana!Picha hiyo hapo juu ni moja kati ya picha zinazoonyesha Kiwanja ambacho KINAUZWA maeneo ya Mbagala Chamazi, Kwa bei ya Tshs 10,000,000 lakini bei inapungua KIMEPIMWA...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Kwa mahitaji ya ramani unaweza kuwasiliana na mimi kupitia 0752 615637, 0655615637. Pia nimeshafanya ramani nyingi kama mtakazo ziona kwa picha kwenye attachment.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ZINAKUJA NJIANI,ziko nyingi..specificationz zake hizi hapa GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 1900 BODY Dimensions 114 x 58 x 15 mm Weight 150 g...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
J.D.M Health Consultanttunahusika na utoaji wa ushauri wa afya hasa kwa magonjwa yanayotokana namaisha tunayoishi hivi leo (life style diseases) kama kisukari, shinikizo ladamu, saratani, vidonda...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Wadau! Kwa anayependa kuweka oda, nina 4 Puppies (100% PURE GERMAN SHEPHERD PUPPIES), wote madume ndiyo kwanza wamezaliwa ila kwa anayehitaji anitumie PM; watakuwa tayari kutolewa baada ya wiki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo; kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni nyumba nzima. ina vyumba vitatu vya kulala, self 1 ina AC, jiko dining. Car park, iko ndani ya fensi. Laki tano kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0652842271;0655675500.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
****** kuna tatizo la kiifundi
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Back
Top Bottom