Ninauza viwanja viwili. Kimoja kipo Arusha kijiji cha Moshono Kati. Ukifika Moshono bus stand ukitokea Arusha Mjini unafuata barabara ya vumbi mkono wa kulia. Ni mwendo wa robo saa tu kwa mguu...
Nina tatizo ma Staff wa kitengo cha CC cha Vodacom. Kwa kuwa wameshindwa kunipatia ufumbuzi naanza kupanda ngazi kwenda juu. Tafadhali sana kwa anayejua naomba kupata email za CEO wa Vodacom, ya...
Eneo ni kubwa na linafaa kwa matumizi ya biashara kama garege, parking ya magari makubwa au kiwanda. lina ukubwa wa SQM 14,600. eneo lote limezungushiwa ukuta. ndani lina nyumba ya kisasa...
Travel Agent from Russia looking for Hunting safari packages
7 days Package
14 days Package
21 days Package
All inclusive
Am a Business Development Expert and Online Marketing Expert.
The...
Ni msichana (from Ethiopia), yupo DSM kikazi na amepanga nyumba maeneo ya Kariakoo, mtaa wa Narung'ombe. Ina 2 bedrooms, kitchen, sitting room, toilet na bafu na sitting room. Anatafta met ambaye...
Habari wadau!!!!
Kutokana na ushindani na ukosefu wa ubunifu tumejikuta watu wote tunafanya biashara moja na kunyanganyana wateja kwa hali zote mpaka kwa ndumba.
Kwa kuliona hilo tunatengeneza...
Mjasiriamali Deogratius kilawe Wa MIKONO Business consult(C.E.O)atazindua kitabu chake pale Holiday inn hotel ikiambatana na semina inayokwenda kwa jina "TAMBUA FURSA ZILIZOPO TANZANIA ZA...
Habari nauza kiwanja Mbezi Maramba mawili njia inayokutanisha mbezi na Kinyerezi.
kipo barabarani eneo zuri.kina ukubwa wa 20x20.bei maelewano
Piga 0717-706259
Mbano
hello,
This is for all owners of the medium size restaurants/ hotels as well as big families. Simgas Tanzania Limited has a complete solution for you with its completely new product launched...
Ni kiwanja kizuri kipo pembeni ya barabara kwa mujibu wa ramani. kipo eneo la Bunju A wilaya ya kinondoni. kina sqm 1,000 kimepimwa na kina hati. tunahitaji mnunuzi wa haraka bei powa ni Tsh...
Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana.
Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya...
Nimepambana na udanganyifu mkubwa wa ukusanyaji kodi unaofanywa na watu ambao siyo waaminifu kwa kutumia jina la TRA. Mwenye namba simu nambako naweza kuripoti tatizo nililokutana nalo tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.