Nyumba ina vyumba vinne na sebule na dinning room,ina tiles, pia ina umeme na maji, ina uzio(gate) pamoja na frem moja ya biashara na ina parking nzuri ya gari. plot imepimwa no.1870 nyumba ipo...
Nyumba ipo kinondoni ada estate unaingilia kinondoni makaburini. ina vyumba 3 kimoja master jiko na sitting room kubwa, umeme na maji yapo. compound inatosha gari 2 mpala 3 .bei lak 5 kwa mwezi...
Habari wanajamii? hope ni poa, naombeni msaada wa info. hapa, nahitaji blank dvd zile za 8GB, wapi naweza pata hapa town na bei yake ni ngapi? Asanteni
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia.
Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk.
Malipo ni...
karatu ni mji wa kitalii unaokua haraka ikiwa una ndoto ya kuwekeza hapa unahitaji kupata uwanja mdogo wa gharama nafuu, kuanzia laki tano hadi m.ishirini au zaidi usiumize kichwa kama...
For Native Swahili and Other African languages needs – Translation, Interpretation, Transcription, Teaching, Cultural tour visits and many more, look no further now: Languages Africa, Home...
wATAALAMU NAOMBA MSAADA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUOKOA PICHA KWENYE DIGAL KAMERA AMBAZO ZIMETOWEKA BAADA YA KUWEKA MEMORY KAD AMBAYO HISI ILIUWA NA VIRUS......NI PICHA MUHIMU SANA KWANI ZIMEBEBA...
TOYOTA VOXY (2002) toka Japan,imetembea Km 69641,STATION WAGON(SILVER) yenye Reg no T919 BUK.PETROL ENGINE,seating capacity 8.
Bei mil13
Contacts
0716 390 337
0764 468 469
Ninazo course nyingi za mafunzo kwa njia ya Video, zinazowezesha kujifunza na kuongeza ujuzi wako katika fani hii
Kozi hizi zimewawezesha wengi kufaulu mitihani yao, pia kuwa na uwezo mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.