Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Endeleeni kupata mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu ya tsh 30,000 kwa lita toka Rose Group.Sasa yanapatikana Morogoro pia.Kwa walio nje ya Morogoro na Dodoma tunaweza watumia hukohuko waliko baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mtu anauza simu ya Samsung S5610 mpya tafadhali. Kama kuna mtu anayo ani PM then tufanye biashara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mitsubishi Chariot Grandis: 7 Passengers/stn wagon/doors 5/ silver/2 wheel drive/Anti-Lock Brakes /Driver Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / Rear Window Wiper /A/C:front /...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
The following are details:- · MAKE TOYOTA · MODEL NADIA · MODEL NO...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba anisaidie jaman,ntamtoa japo kiduchu
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Gang Chomba anaanza kwa salam... wakuu kwema? Kama kuna mtu anayeweza kurahisisha kwa upatikanaji Samaki aina ya Prons naomba anijuze kwa Inbox then tuweze fanya Biashara, niko Dar. Jieleze...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nipo Dar, natafuta kozi ya muda mfupi ya web design and management. Hiyo kozi iwe inatolewa jioni baada ya muda wa kazi. Pia itakuwa vizuri endapo eneo la kufundishia linakuwa ni posta, maana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau naomba nijuzeni ni model ipi ya cannon photocopier (IR) ambayo ni durable na cheap na wapi naweza kuipata
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtu yoyote anayehitaji kununua almasi tuwasiliane Mzigo upo wa kutosha, kwa mnunuzi tuwasiliane 0778 918 245 kama hufahamu lolote kuhusu hii biashara pls pita kimya . tunatafuta a serious...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nauza samsung corby-plus gt-b3410 used for 3 months..ipo katika condition nzur contacts 0715425054
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Simgas Tanzania Limited ni wauzaji na watengenezaji wa mitambo ya gesi inayotumia mabaki na taka za vyakula. Mitambo hiyo ina muonekano kama wa simtank wa lita 2000 ambao utakaa nje ya nyumba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ps3 slim 250GB- Price:580,000tsh(fixed price) used 2months-ni pm or call 0782221405
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Toyota Corolla EG 1 inauzwa,bei mil 4.5 za Tanzania......iko Dar es salaam na kwa sasa inatumika kwa matumiz binafsi na imetembea Kilometer 91898.Unaruhusiwa kuja na fundi wako kuiona... Contact...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
7
0 Reactions
0 Replies
786 Views
kiwacha cha heka moja, kipo kibaha kwa mathias upande wa kulia kama unatoka morogoro, barabara inafika kwa sababu ndo njia ambayo magari ya mchanga yanapita, bei ni shilingi million 4.5, siitaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
simu aina ya nokia asha 200 inauzwa kwa bei ya tsh.130,000/= maelewano yapo,simu ni mpya kabisa mie niko dar es salaam, kwa anayehitaji anipigie 0715404808
0 Reactions
0 Replies
760 Views
We are doing a low cost housing project,We need to buy a tanker of creosote. Please can you kindly assist me as to where we can source creosote in Tanzania. PM me if you know any supplier in...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari wakuu, kama kuna mtu anahitaji kuinvest in real estate kwa mwanza kuna plot ipo kati kati ya jiji la mwanza na inafaa kwa matumizi ya hotel,commercial propery/offices/shopping mall,,ni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wana JF napenda kuwatangazia kuwa nimefungua duka la cosmetics mitaa ya tabata changombe karibu na stend ya bajaji nyuma ya studio ya picha ulizia MUSSA no 0712 85 66...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom