Halina hati ya serikali kuu bali lina hati ya serikali ya mitaa/kijiji. barabara inafika hadi shambani. Eneo ni tambarare, inafaa kwa ujenzi na kilimo. napatikana jumamosi na jumapili tu, kwa...
Wadau nauza FLAT TV HD READY SHARP 32 INCHES INA HDMI CONNECTIONS...INA HALI NZURI USED NIMETUMIWA NA RAFIKI YANGU TOKA JAPAN.....BEI 750,000 MAONGEZI YAPO...NIPO DAR CITYCENTRE...KAMA UPO SERIOUS...
Hali zenu wana bodi,
Naleta kwenu tangazo la kuuza eka moja ambayo
ipo kibaha kwa matias. Ni mkono wa kushoto kama
unakwenda morogoro. ni jirani na makao makuu ya chuo kikuu huria.
eneo lina hata...
Kwa mahitaji PCs,printers,scanners,cameras, cables,servers,softwares na mengineo brand new kwa bei nafuu tofauti tuandikie sales3@orange.co.tz.
:wink2:
Nina nyumba chakavu katika maeneo yafuatayo.
kinondoni shamba , kuna nyumba 3 kati ya hizo ni moja 2 ambayo gari inafika nyumba hii ni ndefu ina ukubwa wa 30m X 14m, bei yake ni 35m mazungumzo...
Wakuu,
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Changanyikeni, Savei ama Makumbusho.
Vyumba kuanzia viwili na kuendelea + Sebule + Jiko + Iwe ni self contained..
Iwe na Fence pamoja na Parking ndani...
Ninauza viwanja vifuatavyo katika eneo la kibada huko kigamboni, ni km 16 kutoka feri hapa naweka ukubwa wa kiwanja na bei yake. vyote vimepimwa na vinaonekana kwenye ramani.
2000 sqm Tsh...
ULTIMATE TECHNOLOGY provides web design, domain registration, web hosting, internet marketing and graphic design services to Tanzanian businesses, individuals and corporates.
We do improve...
Hi Wadau, natafuta ofisi iliyotulia maeneo ya Ali Hassan Mwinyi Road au Morogoro road (from Ubungo to Shekilango), jengo liwe zuri, (square m 12 hivi), bei iwe reasonable, please kama unajua...
Wana JF,
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kikamilifu. Naombeni mwenye kufahamu sehemu nitakayopata ardhi nzuri yenye rutuba maeneo ya mikoani kwa TZS 30,000 kwa ekari kwa ajili ya kilimo...
oi, nauza psp aisee ,16 GB ,used ila its in a good condition ka vipi nakupa warranty according 2 makubaliano. the colour is white (coz black r very common) ,kwa wale wapenda mauzo this is your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.