Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
inahitajika used bei 250
0 Reactions
5 Replies
1K Views
crackerz wa twn naskia kuna zile line za internet bureee tustuane
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Wanajamii nawasalimu...! Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamaa mmoja mkoani iringa anauza nyumba ipo barabarani eneo la mwisho wa rami. Mabei ya mauzo milioni 100.iringa mjini.phone*0766070713
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Flash Disks ya aina ya TOSHIBA. 2gb- 9,000/- 4gb- 10,500/- 8gb- 12,500/- * With 1 Year Warranty. * Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi. * Special for RESELLERS.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
RE: PLOT FOR SALE. Place. Situated at Urusino Estate Block 42 Plot 69 Morocco Prime area Kindondoni SIZE. 2000 Squire meter. Serious interested buyer may Phone call Mob: +255 714 169292 to...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
For more information visit: House For Sale at Mtoni Kijichi | Kitomai
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Mwenge kuna frame kubwa nzuri kwajili ya biashara kama maduka hotel nk, Tsh 1,000,000 kwa mwezi, Kodi ni miezi 6 tu. Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767-074040-0783-074040. Changamkieni deal...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mkanda wa kupunguza mafuta na kuondoa kitambi unauzwa bei elfu 80
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nakodisha gari kwa ajili ya shughuli za sherehe mercedes Benz Ml 320 na mercedes Benz E class 200, bei maelewano. Mobile 0717442537, 0767442537
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unayo nicheki kwa 0715212505. Offer ni 180,000 tshs.
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Nataka tv ya kunnua iwe used au mpyaaaaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
My no 0653957095
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie wafanyakazi wa ndani wawili. Wa kwanza aweze kuongea kiingereza, atakua na kazi ya kumlea mtoto tu. Ataishi humo humo. Awe mdada, kama ana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu mlioko Taiwan na China au yeyote anayeweza kupata simu aina hizo au housing yake naomba tuwasiliane kwa mail mabaghee@yahoo.com. Simu yangu imeharibika housing (cover zake) nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Kwa wale walioko Taiwan au China simu hizo zinapatikana huko. Tafadhali naomba mnisaidie kupata housing au simu yenyewe. Naambatanisha na picha zake.Tuwasiliane mabaghee@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Salaam wakuu, nahitaji vifaa hivyo hapo juu kwa ajili ya IBM THINKPAD T43 na T42, kama unavyo naomba tuwasiliane mapema iwezekanavyo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaojenga, watakao jenga, usihangaike kupata milango imara kwa ajili ya nyumba yako. Ukifika kwetu utapata milango imara kwa uthabiti wa nyumba yako. TUPO NYAKATO NATIONAL, na...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wanajamii habari naomba mwenye uelewa na bei ya hizi bati zenye migongo mikubwa anijuze tafadhali nasikia wanauza kwa mita ni kweli na bei yake ni shilingi ngapi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
naitaji line ya kutumia internet free kama unayo just contact me through 0752092762 we anza kwa kusema sam ntajua ni wa internet line jamani dili hilo ila ukija na uchakachuaji wako utaumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom