Shamba lenye ukubwa wa heka mbili na nusu linauzwa shilingi milioni 25 maongezi yapo.shamba lina miemmbe,mikorosho na minazi. shamba lipo chanika buyuni unaingia ndani kidogo.
kwa mawasiliano piga...
Wana bodi
habari
naombeni mnijuze bei ya soko ya NISSAN XTRAIL GT ya 2002 imesajiliwa na imetumika kuanzia mwaka jana ipo hapa hapa DSM
Just bei tu wadau.
shamba linauzwa lipo kongowe kibaha mita 400 kutoka barabarani majiyamefika na umeme umefika na linatazama barabara kuu ya kwenda soga linafaaa kwa uwekezaji wa kuku,ngombe,makazi,au...
- CALL: Location: Ras Karonjo, Gezaulole, Kigamboni,Dsm.
- 15 Km from the Ferry terminal, 10 15 Min. drive
- Tarmac road up to the cross section and small...
URGENT: LOOKING FOR FINANCE Tshs 400 mln
Introduction;
We are registered Company about 20 yrs now as limited in liability,
The company wealth is more than 2 billion it has 100% equity...
Nina nyumba zaidi ya kumi ambazo zinauzwa katika wilaya ya Kinondoni kwa anayetaka kununua tuwasiliane au kupanga tuwasiliane 0657 14 5555, 0755 099 291 Havilla Real Estate Agent
Location:
17 Km from City Center, Old Bagamoyo Road
Located at Africana Jangwani Beach
Near White Sands , Kilongawima Yard
Kinondoni District, Dar-Es-Salaam (Tanzania)
Email: info@kitomai.com...
Viewsonic viewpad 10E
Tablet PC (IPAD)
9.7" Touchscreeen
Webcam
Mini HDMI,
Up to 32GB via Micro SD
WiFi + Bluetooth
OS - ANDROID Gingerbread
620,000/-
Brand New.
Hallo habarini, mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Mathematics/Physics/Computer Studies nimehitimu diploma in education 2008 nimefundisha miaka miwili shule ya serikali, HIVI SASA NIPO UNIVERSITY OF DAR...
Wana JF, Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, karibuni tufanye biashara.
Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa...
Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, karibuni tufanye biashara.
Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order...
Ni habari njema kwa wenye vitu
tajwa hapo juu, kuwa kuanzia
mwezi May au June mwanzoni
nitakuwa nasafisha hivyo vitu
kama vilikuwa vina scratch
haviplay miziki vzr basi tiba yake
ya milele...
How do you do Guys!
For your requirement of company logos which are innovative, modern and advanced contact Focus Solution,
These guys are way over the top, super cool, they didi our logo its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.