Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Iwe na ukubwa wowote tuu kama unayo tuwaailiane kupitia kuhusu bei 0713079282
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Ipo Boko along Bagamoyo road, ina fence ya ukuta, maji na umeme. 0755858813
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeuza NOKIA tochi yenye condition nzuri aniPM. kwa aliyeko DAR tu. BEI 10,000/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe na chaja,usb,earpiece Iwe ina multitasking capabilty Iwe touchscreen au qwerty Iwe in good condition Ela itatolewa kulingangana na simu kwaiyo amna exact price Aliye tayari kupewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toyota rav 4 nyekundu milango 5 dalali marufuku gari ya kampuni bei karibu na bure mil 10. Kumbuka ni rav4 0755923374
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa anaeuza au anafahamu wapi ntapata plz help! Thnxx
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Mambo vipi wana JR? Natafuta rottweiler puppies au mbwa wakubwa, kama kuna mtu ana information yoyote wanakopatikana naomba anisaidie. wakiwa wamecross nayo sio mbaya kupunguza ukali. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini) kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada wenu wapi ntapata sticker za kuweka ukutani badala ya kupaga rangi nyumba.na bei pia ikiwezekana kwa square meter ni shilingi ngapi.hapa dar
0 Reactions
4 Replies
4K Views
nyumba nzuri sana mazingira mazuri sana Room tatu na Sitting kwa mwez laki 3 ipo kurasini karibu na chuo cha diplomasia.usi ni pm kwa maelezo zaidi piga 0719390285 / 0752935772
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ITEM NAME-- Toyota Carina PRICE ------------Tsh 8 Million maelewano yapo (piga-0719539431) DESCRIPTIOn-----Color-Metalic Silver Model------------5A FE CC----------------1498...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwa yeyote anayeuza NOKIA tochi yenye condition nzuri aniPM. BEI 10,000/=
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Wajameni kuna mdau aliwahi kusema hapa jamvini kuwa kati ya tablet nzuri ,Asus Eee Pad Slider 32GB ni tablet nzuri sana,na kweli nimebofya nimeona ni nzuri yaani ni kama Min laptop vile,sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iko kwenye hali nzur sana imetembea ichin mwaka 1 na ilikuja mpia kabisa.unaweza kuiyona.bei dola 11.000
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa kariakoo. gerezani karibu na ukumbi wa gerezani. ina uzio mkubwa wa tofali. inafaa kwa kuishi, yard, office n.k. Price $6000 per month negotiable.kama uko interested pm me
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapendwa wana JF nahitaji mtu wa kupanga kwenye nyumba ninayoishi. nina chumba kimoja kiko wazi full furnished. yeye ni kuingia kulala. nahitaji kijana au dada ambaye ndio anaanza maisha hana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau kunam2 kantembezea pkpk aina ya Honda toka japan. Ni cc 90. Anadai anamatatizo so nimpe laki 8. Mm cjui aina ya pkpk nzuri na bei yake pia. Naombeni muongozo wenu tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
http://signup.wazzub.info/?lrRef=b3e76fa3
0 Reactions
4 Replies
1K Views
anayetaka kufungua simu kutoka nje, au yenye magonjwa mbali mbai kama kuzima, kuondoa taka taka Muone Mwesiga wa Empress Cinema na Kariakoo aggrey, naponesha sana, na eti ndio mwanzilishi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom