Kama una copper ore kuanzia pasenti 25 na zaidi na unauza tuwasiliane haraka sana.TAFADHALI KAMA KUNA UBABAISHAJI NA UONGO TUSIWASILIANE. Nitumie email unipe namba yako ya simu: somigroup@yahoo.com
The stylish design is complemented with rhinestones to add an air of glamor
Rhinestones embedded around giving a more luxurious look
Maximizes protection to your phone and allows direct access...
Nina hii fedha, namimi nataka kujikomboa walau niwe na kausafiri kakunirahisishia kuwahi ofcn. Naomba mwenye kuuza anicheck tufanye biashara. Liwe kwenye good condition tafadhali.
nyumba nzuri sana mazingira mazuri sana Room tatu na Sitting kwa mwez laki 3 ipo kurasini karibu na chuo cha diplomasia.usi ni pm kwa maelezo zaidi piga 0719390285 / 0752935772
Suzuki swift
PRICE
Tsh 8 Million
DESCRIPTION
Colour- Pearl
CC-1333
Transmission-Automatic
Millage-90,000km
Fuel-Petrol
Maelewano yapo kwenye hiyo bei kama unataka piga 0719 539431
Nauza mali yangu ni lap top dell latitude 620 intel duo core, 1gb ram, 80gb hd drive,processor 1.83GHz. Sababu ya kuuza ni nataka kubadilisha brand bei ni 450,000tu ila tunaweza kufanya mapatano...
Ndg zangu kama kuna mtu yeyote atanisaidia kupata nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi beach hapa Dar nitashukuru nyumba iwe ni ya familia maana yake vyumba kuanzia 3 na vingine vyote muhimu katika...
Tangaza katika tovuti hii: www.kitomai.com. Tuma PICHA na MAELEZO kupitia info@kitomai.com. Kama uwezi kupata picha nzuri tutakuja kuzipiga picha hizo mali kwa gharama nafuu. Tutakusaidia kupata...
naomba msaada kwa walio musoma mjini kwa ajili ya kijana wangu ambaye amepata kazi huko. anahitaji chumba kimoja au viwili tu na ikiwa self ni vizuri zaidi au nyumba ambayo inawapangaji wasiozidi...
Its bold 9700 in black colour having no scratches and yu get it with charge,it rates to a reasonable price 300,000.. If you need it please call 0713079282 or Pm for more information
Gari inauzwa milioni saba tuu Daresalaam
Make: Toyota Gx 100 Avante
Model: Chaser
manufactured Year: 1999
cc 1980 petroli
imported: April 2008
contact: 0785188885
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.