Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ninauza viwanja, cha kwanza kipo Kigamboni, Gezaulole, kina ukubwa wa 1300 Square Metres, kina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa, bei yake ni 17,000,000/= Cha pili kipo Mbezi, Luguruni, kwa...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
I want 2 find my bros and siz in moshi the family of danson lenguana mallya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauza Blackberry curve 9300 3G kwa Tshs. 320,000/= simu ni mpya. Pia Blackberry curve 8520 nyeupe na nyekundu inapatikana kwa Tshs. 250,000/= Piga number: 0655-003510 au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibuni tuchati,Kupitia Mtandao Wa facebook Kwa Username Ya LAWIZE COSMAS.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
KUNA JAMAA ALIRUSHA ISHU KUWA VIWANJA VINAUZWA KILINDI. EBWANA KAMA UPO NIPE SIMU YAKO NIKURUSHIE HATA VOCHA AU TUMA EMAIL kwanzamen@yahoo.com. Bwana nimepata viwanja bomba sana nilidrive...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Are you an alumnus of Land Management and Valuation by then under UCLAS of UDSM, now School of Real Estate Studies under Ardhi University? If YES, do not plan to miss this golden opporunity at...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF nauza Gari yangu aina ya Mazda MPV ya Mwaka 2002, Automatic, Seven Seater family car kwa bei ya kutupa kabisa shilingi 9.5m na Maelewano yanaweza kuwepo. Sababu ya Kuuza ni kutotosheleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, The above intact Daihatsu is on immediate sale, no discount on the above price. Full options.Alarm added.Full service and was driven by a working lady for 2 yrs in DSM All duties paid...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
kwa anayeitaka Hp 620 hdd 320 GB,ram 2 GB,processor pentium R dual core 2.3 GHz
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Msaada waungwana wana JF natafuta mashirika ya ujenzi wa nyumba Dar. nakusudia mashirika ambayo mnapatana na yenyeewe yanakujengea nyumba na kukukabidhi kwa mujibu wa ramani yako. Mwenye kufahamu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nyumba ya kisasa mpya ndio imemalizwa kujengwa inapangishwa ukonga sitakishari. Ina vyumba vinne vya kulala, master bedroom. Ina garage, maji, umeme wa luku. Sh. laki tano kwa mwezi. kodi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao...na namba plate ni BT something. Interested piga namba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta Toyota Vista Ardeo ya mwaka 2001 or 2002 , chasis SV 55
0 Reactions
6 Replies
1K Views
waungwana natafuta gari suzuki carry kwa bei yoyote wakuu kama kuna mtu anajua ilipo anijulishe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni daladala(NISSAN CIVILIAN) kutoka tandika kwenda posta...bado iko BOMBA na bei yake ni nafuu sana kwa maelezo zaidi piga 0755417774 or 0716172067
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UNAFIKRA YA KWENDA MAREKANI KUFATA ELIMU BORA. SASA UNAWEZA KUPATA ELIMU HIYO HIYO POPOTE UKIWA TANZANIA KWA KUPITIA VIRTUAL SYSTEM yaani unafundishwa na walimu waliopo marekani na canada live...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KAMA kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...kiwe ndani ya mji au nje kiduchu ya mji habari ndo hiyo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani natafuta nyumba ya kupanga arusha iwe Self vyumba 2 au 3 iwe na gate + maji +umeme anaejua mahal ilipo ani-PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello friend natafuta tv flat screen nina tsh.350000 nahitaji msaada pliz
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom