wakuu heshima zenu,
natafuta camera tajwa hapo juu kwa ajili ya shughuli zangu, tafadhali mwenye nayo hata kama ni used lakini iwe kwenye hali nzuri anichek kupitia 713400763.
kazi njema!
Nissan patrol inauzwa
Features
SGL 3.0 Di, Manual transmission,ya mwaka 2001, Service history CFAO/DT DOBIE, imetembea kilometres 80,000. Iko katika hali nzuri sana
Bei ni TSH 38,000,000...
kwa yeyoye mwenye kuhitaji kupangisha hiyo nyumba anipm kwa maelekezo zaidi
ni nyumba ya vyumba vinne, ina sitting room kubwa, jiko na choo cha ndani, pia na cha nje. maeneo ni
tabata mawenzi.
nyumba ya kupangisha inahitajika mwishoni mwa mwezi huu....iwe na vyumba vitatu au viwili vya kulala...
maeneo ya tabata, sinza, mwananyamala, kinondoni,....
kodi:250000 - 300000/- kwa mwezi...
ina window 7 32bits, Duo cuo processor, inbuilt with bluetooth, wifi, internalcellural phone, RAM 1GB, HDD 80GB, battery charge up to 0130hrs. Bei shs 380,000 only niko kawe dar, call me 0717 312184
Hello wadau wa jf, natafuta laptop used lakini iliyo kwenye hali nzuri, nipo Dar naomba kama kuna duka sehemu zinauzwa mnishauri
nawakilisha
Mpiganaji
kinondoni.
Wadau natafuta vyumba viwili na sebule vya kuishi mitaa ya kinondoni Ada estate,manyanya,biafra.Mwenye kujua vinapatikana please anipe namba yake ya sim hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.