Je wewe ni mmiliki wa shule ya awali,upili wa chini ama upili wajuu.
Namaanisha Nursary,Primary au secondar na unahitaji walimu wenye uwezo wa juu.ZENITH Tunao walimu wa aina hizo.
Pia tunapokea...
Nyumba self contained ya vyumba vinne inauzwa kwa bei ya shs 195mili. Ina tittle deed. Kiwanja kina ukubwa wa 900 sqmt.
Kwa kuiona au maelezo ya ziada piga simu 0784225000
Ebana kuna ndugu yangu anatafuta nyumba ya kupanga mwanza,maeneo ya nyegezi,mkuyuni ama mjini kati. Ama vyumba 3 na sebure, ulinzi na usafiri uwe unafika. Tumia 0764600657.
Ama ni PM,kwa maelezo...
wadau mambo vp?? Kama kuna mdau yoyote anaeweza kunisaidia hapo kuhusu chumba hicho tafadhali anisaidie,,, mimi ni mwanafunzi wa uclas, naomba kama kuna mwenye chumba kizuri self contained chenye...
INAKIWA IWE NA CABIN KUBWA NAMAANISHA SEHEMU YA KUWEKA KITANDA;IWE KWENYE HALI NZURI KAM UNAWEZA WEKA PICHA INGEKUA SAFI SANA;NAWEZA PIA KUIONA ILIKO DISTANCE WONT MATTER:mambo za ofa ni kuanzia...
Rapid Rural Development Implementation Foundation (RARUDEIF), a national non profit NGO with registration number OONGO/1243 wishes to announce its 10,000 Plus Fundraising Campaign for year 2012...
2010 Bajaj Pulsar
Mahali iliko: Dar Es Salaam
Kuingizwa na Kuandikishwa Tanzania : 2010
Ujazo: 150cc
Odometer: 9400 km
BEI: TSHS 2,750,000/=
Contacts: 0714 539263
Nimeitumia pikipiki hii kwa...
Napenda kuwakaribisha wana Jamii Forum Wote kwenye Group ya SAUTI YA WATANZANIA tuweze badilishana mawazo na kupeana Taarifa ya kinachoendelea hapa Nchini kwetu Tanzania.
Group hili linaruhusu...
Naomba msaada wenu nahitaji kupata laptop Dell latitude ya 4GB (new/used) kwa matumizi ya kawaida ni wapi naweza kununua,? Bei ya kulipa laki 4 to 4.5. Naomba mnijuze wandugu na wenyeji wa maeneo...
DODOMA SANAA GROUP. Kazi za sanaa, tunachora michoro ya aina mbalimbali, mabango, mafundi bingwa wa rangi na ujenzi. Tunaandika mashairi na ngonjera kwa ajili ya sherehe mbalimbali kwa kiwango cha...
Wana JF,
Nakuja kwenu nikomba mnisaidie Mtanzania na mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 5, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na ia nyumba. Gari naweza kuacha kadi...
Blackberry Torch 9800 for sale in Arusha. Almost new, used for only two months since bought. Price $430. Comes with earphones and charger. Serious buyers only email: richie_massive@yahoo.com
Habari wanajamii
Natafuta motors 100-130 hp kwa ajili ya kusagisha na kukoboa mahindi kwa wingi, anybody anakofahamu sehemu hapa Dar wanauza let me know, any details nitafurahi plus costs
Nimetumwa na mjasiriamali mmoja nimtangazie biashara yake.
Anazo NOKIA N8, anauza kwa 250,000/=
Kama unahitaji send me a PM, nikutumie namba yake ya simu. Yuko based DAR
Nawasilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.