Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
located at Msasani Peninsula, Masaki, this property is a convergence of modern functionality bespoke finishes, including materials sourced from various European countries. With superb...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Located at Kibamba C.C.M area in Kinondoni Municipality Dar es Salaam City. About 25 metres from Morogoro Road . Roof: Is of hipped type covered with corrugated iron sheets on timber members. No...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Silver, 2000 model, 3s injini, 1998cc, Imesajiliwa Tz 15/04/2011 Imetembea km 117834, Bei 12.5mil. 0784225000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wana JF, Nahitaji Document Feeder ya photocopier Canon IR 2520 (DADF-AB1 for Canon IR 2520). Ningependelea kupata mpya, naomba mwenye nayo anijuze naipata kwa bei gani ifikishwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Rav 4, 3 doors inahitajika. Model ya 1998 au 1999. contact 0786305664
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana JF. Maelezo yanajieleza, iwe pentium 4, nzuri, pesa ipo mkononi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Naulizia kama kuna mtu anafahamu hospitali hii ilipo, au ana contact za hapo. Nimetafuta kwenye google, lakini sijapata info kamili. Hii hospitali ipo Dar es salaam, ila sijajua ni eneo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna siku niliwaambia wote wanaopenda kusoma mambo ya uandishi wa Habari, Utangazji, Radio Production waniPM. Wengi waliniPM wakiulizia details zaidi. Sasa details ziko hapa:- 1. Kozi itaanza May...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salam wana JF, Kwa wale wote wanaotaka kusoma Uandishi wa Habari, Utangazaji na Radio Production naomba uni PM ukieleza haya:- 1. Unaishi wapi?? 2. Upo tayari kusoma kuanzia lini?? Nitakupa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume.Nimemaliza fm 6 mwaka huu.Sina kazi jamani.yoyote aneweza anisaidie nipo TABOSA MJINI.Computer naweza kutumia vizur.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo: 1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand 2. Biology science - Taylor Greeen 3. Inquiry into life - Sylivia Naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jf kwa yeyote mwenye taarifa naomba anifahamishe, ninahitaji toyota raum iliyotengenezwa kuanzia mwaka 2000. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta vitabu vya ebooks kwa ajili ya Advanced level kama ifuatavyo: 1. Fundaumentals of physical chemistry by Chand 2. Biology science - Taylor Greeen 3. Inquiry into life - Sylivia
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Habari kwa wanajamii forums wote! Mimi ni kijana wa kitanzania ninaye amini katika mabadiliko na maendeleo. Naimani kama tunataka kujenga taifa la kisasa na lenye mitazamo ya kisasa katika masuala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF natafuta used ipad with 3g+wifi,ikiwa na 32 gb sio mbaya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
new office space 250 square meters suitable for offices, gym, canteen e.t.c. Enough parking space. located next to shopper’s plaza along old bagamoyo road (mikocheni). *$14 per square meter...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear ma sis Nakutakia sikuku njema ya ukumbusho wa kuzaliwa kwako;kwanza nampongeza mama aliekubali kukubeba miezi tisa bila kumtukuza mzee wetu aliepigana wewe kuja dunian na mwisho kwa wale wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta nyumba maeneo ya kuanzia mbezi Africana kurudi hadi kijitonyama hadi makumbusho. vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, dining, na parking. Thanks
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ipo Kimara Mavurunza mita chache kutoka ''Morogoro road''. Ina vyumba vinne vya kulala(kimoja master bedroom, self contained). Ina sebure kubwa yenye ukubwa wa sqm 40, jiko lenye ukubwa wa sqm 15...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta meneja wa kusimamia mradi wa kusaga, kukoboa,kupack na kuuza nafaka. Anatakiwa awe na uzoefu walao wa miaka miwili katika kazi hiyo hapa Dar es salaam. Awe na elimu walao ya kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom