Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Vipo Mbezi Beach Juu. Vipo umbali wa kilomita nne kutoka Bagamoyo Road inayofanyiwa upanuzi. Vipo viwanja saba. Viwili vina Hati Miliki (Tittle Deed), kila kimoja kina ukubwa wa sqm 1000 au 25...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa muziki wa Kikongo, pata raha isiyo na kifani hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MacBook 2.4GHz : 250GB 2.4GHz Intel Core 2 Duo 2GB DDR3 memory 250GB hard drive1 8x double-layer SuperDrive NVIDIA GeForce 320M graphics Built-in 7-hour battery2 zipo 4 (brandy new)na kila...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninaomba kufahamishwa mitandao ya kijamii ya aina ya Jamii forums kutoka nchi za jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia na Congo ( DRC). Iwe ni ya lugha ya kiswahili au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ya mwaka 2004 E series E240, km 55200 bei ni USD $30,000 iko kwenye condition safi sana all the services books are available.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
mwenye kiwanja maeneo ya mikese(moro) anifahamishe bei ,ukubwa na kilipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zipo kijitonyama kisiwani karibu na kisiwani Polisi Post au shule ya mama Salma. Kila moja ina vyumba vitatu vya kulala sebure diining jiko na store. Maji masaa 24. kila moja inapangishwa kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
URGENT: A three bedroom, fully furnished house, is IMMEDIATELY REQUESTED, for lease in the Masaki Suburb of Dar es Salaam. The budget is USD 4,000.00 per month, payable annually. If you are the...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe ukubwa 22x25 bei sh M2.5 kwa anayehitaji tafadhali piga simu namba 0713876210
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kuna mfanyakazi mwenzangu kapata email ifuatayo kuhusu green card, yeye anaamini kuwa habari hiyo ni kweli, japo tumemshauri sana kuwa awe makini, maoni wakuu... Dear John Mwen'gan...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wadau Nauza Bajaji yangu imetumika miezi 2 tu, Aina ya TVS King 2 stroke Bei poa na maelewano, iko Upango karibu na diamond jubilee kwa mawasiliano zaidi piga 0764 321519
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Iwe haijagongwa,imetumika si zaidi ya 6Month,1500cc,5doors,any colour bt not red,any yr but >1997,Naomba kama unayo nisaide ndg yangu.Preff Automatic,Km ilizotembea <125,000KM. RE.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kwa ajili ya matumizi ya shule ya nursery kinauzwa, kina ukubwa wa 2400 square meters. Kiwanja kimepimwa na kina hati kwa matumizi ya shule ya nursery na kipo Mwanagati, Ilala eneo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great Thinkers, Natafuta nyumba, ikiwa na vyumba 2 vya kulala, Sebule, Chooo, Jiko na Parking maeneo yeyote Arusha (preferably Njiro, Burka,Nane Nane, isiwe mbali sana na barabara kubwa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Are you looking to Rent to or Buy a Property? Are you looking for a Tenant or a Buyer for your Property? Visit:Property & Real Estate Tanzania For more information please call: 0784225000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wapenzi JF mlioko Dodoma naomba msaada sehemu gani wanaprint vitabu?? ninauhitaji sana kama unafanya hiyo kazi na upo dom pliz tuwasiliane! Uni pm Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
helo wakuu,ningependa wakuu mnipe mchanganuo wa bei za viwanja maeneo tofautofauti ya mikoa yetu,ili nijue ni kwa jinsi gani nitawekeza katika ardhi,na kuanzisha miradi mbalimbali. nawasilisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii gari naipenda saaana!! Ila ni adimu kidogo kuziona but katika kutafuta tafuta kwangu niliweza kuiona kwenye website moja inauzwa kwa dola 876 USD ni ya mwaka 1997 na imetembea km 100,000 in CC...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wakuu,ninahitaji used pool table kutoka kwa mtu.nina bajeti ya 500,000/=,ningependa zaidi ile ya kutumia mia mbili automatically. nawasilisha wakuu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom